Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

ada31268edf49b8a9428ec27add40914.jpg
 
Sasa apo mweny kosa sio Mme ni mke mwnyew coz co kila MTU anapenda mistori ya ajabu ya ugonjwa na wagonjwa wako vipi uko mawodini.....at list angebadilisha story buanaa khee ata mim ningamaindi....!

Ndio kaamua kubadilishana stori Na WA kazini matokeo yake nyumbani kuko kimya
 
Hii mada imenigusa mimi baby wangu nimempa likizo saiz nina siku kama 6 sijaongeana nae na I don't care . Too much love yanini ilhali hii ni Tanzania jua kali mno we need space la sivyo end of year inafika upo ndani tu no time for friends ye anataka ajue unachat na nani upo na nani salsa me ni mwanaume bana huezi nichunga better we break up ila sio love kama nipo inoove na mtoto koplo wa magereza[/QUOTE
Hah hah hah u better break up....
 
Ha ha ha nimefurahi ulivyozuga eti " ninapata malalamiko". Nahisi yamekukuta, but there is a substance in your thread
 
Hasa pale kichwa kinapokuwa kinachemka na kuhitaji utulivu alafu mtu anakuletea mahaba ya karaha... Ni kama anazingua fulani hivi...


cc: Kasinde
 
Wapo mkuu wanaboa si kidogo, muda wote baby baby utafikiri ulizaliwa nae dakika moja.

Jinga sana hii toto
hahhaa kuna mdau mmoja amesema ndo wanabembeleza ndoa namna hiyo hahah
 
Jaribu kuacha halafu baada ya wiki mbili rud uone kam vyumba vitakua havijaa. usijidanganye uko
Yani vyumba vijae kwa kuolewa au?? Kwanza unaijua idadi vizuri kati ya wanaume na wanawake hapa duniani?
 
Mkipendwa shida, msipopendwaa shida. Viumbe gani nyie. Kwendreeeeenii
Wivu ukizidi sana utaitwa msumbufu... Sasa hayo sio mapenzi, huo ni usumbufu, alafu wanawake wa hivyo wanakuwa na midomo mirefuuuu
 
I can't believe my eyes...nawapa msaada wa kisaikolojia my lady know that.
Hahaha... Umegeuka hospital, kila mwenye maseke anakuja kujipozea kwako.... Hahahah
 
Oooh kumbe inawahusu wasichana!!

Na nyie wavulana sasa kama mnahitaji space si muwe peke yenu ili muwe na space ya kutosheleza kabisa uweke hata semi. Siku na hao wasichana watakapohitaji space msije tu mkalalamika.
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Niletee dunia ndio nitakusamehe
 
Wapo wengi tu yaan watumwa mpaka utawahurumia. Kisa anabembeleza ndoa
Aisee hao ndo wazuri ila wasiwe wasumbufu sana... Unajua mwanamke akiplay smart basi ni limbwata tosha, no need kwenda kwa sangoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom