Huyu atakua beki 3 huwez kutuma mimesej mfululizo ndan ya dakika moja mesej 10
wanawake wanapenda sana kutoa taarifa na kupokea... Ndomana utakuta wanamaneno mengi na wanatumia muda mwingi kuzungumza gossip... Sasa hizo mood wanaume hatuna, sisi tunapenda utulivu, ndomana unakuta tunapishanaShida ya wanawake.. wanashindwa kuwasoma wanaume. Wanadhani wanavyowaza wao.. ndio tunavyo waza sisi... kumbe ni kinyume kabisa.... wanajikuta wanaishia kulalamika kutwa nzima.. mara wananune... inakera.. sometimes..
told you atakuja mwenyewe after all being said and doneAisee hao ndo wazuri ila wasiwe wasumbufu sana... Unajua mwanamke akiplay smart basi ni limbwata tosha, no need kwenda kwa sangoma
Umeongea kweli mwana, alafu kuna wale mademu wanaopenda kulaumu kila kitu, wao hawana jema... utakuta mnakaushiana alafu siku unakuja kumpigia simu anakulaumu kwanini hukumtafuta sikuzote, sasa unajiuliza kwani mwenye jukumu la kumtafuta ni mimi tu?Hii mada imenigusa mimi baby wangu nimempa likizo saiz nina siku kama 6 sijaongeana nae na I don't care . Too much love yanini ilhali hii ni Tanzania jua kali mno we need space la sivyo end of year inafika upo ndani tu no time for friends ye anataka ajue unachat na nani upo na nani salsa me ni mwanaume bana huezi nichunga better we break up ila sio love kama nipo inoove na mtoto koplo wa magereza
Reply text yangu basi maana naona simu hutaki kupokeaNjooni kwangu wanawake wote mliolemewa na mizigo ya wanaume wasiowajali.
Hapa 24/7 nipo kusubiria missed call na text yako.
Alafu unakosea unapotenganisha mapenzi na utoto... Nani alikudanganya mapenzi hayahitaji utoto? Ivi ulishawahi kushinda chumbani na demu hata kwa siku moja? Huwa mnaamrishana au ?Hao wanawake wanaolalamika lazima watakua below 25..... Too much childish in love, ila matured girls don't do that, ila pia sometimes Kuna sababu, labda ni kawaida Yao kuwa karibu Muda mwingi hata Kwa njia ya mawasiliano so inapotokea mtu aka mute ghafla lazima mwenzie ashtuke kidogo, so it's better kumfahamu your man, ila hata mwanaume ni better amfahamu mwanamke wake, hata anapohitaji hiyo space, amwambie tuu mwenzake ili kuavoid such small misunderstanding
haha da, hii dunia ina mengi sana...Mateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Ok now you can disturb me. I'm available.....Reply text yangu basi maana naona simu hutaki kupokea
Tunahitaji upendo, Tunataka kila mtu ajue majukumu yakke, na tukifika nyumbani msitafute sababu za kugombana nasisi, bali muhakikishe mnatupoza uchovu wa kazini na kutugeia usingizi mzuriiii... Sio ukifika nyumbani tu loudspeaker inafunguliwa kelele mtindo mmojaWanaume bhana !ukimpigia cm kila siku atasema anahitaji space na blah blah kibao ukikaa kimya utashangaa unaambiwa unakiburi sana kwann hupig simu?asa tufanyeje jamani
Tunahitaji upendo, Tunataka kila mtu ajue majukumu yakke, na tukifika nyumbani msitafute sababu za kugombana nasisi, bali muhakikishe mnatupoza uchovu wa kazini na kutugeia usingizi mzuriiii... Sio ukifika nyumbani tu loudspeaker inafunguliwa kelele mtindo mmojaWanaume bhana !ukimpigia cm kila siku atasema anahitaji space na blah blah kibao ukikaa kimya utashangaa unaambiwa unakiburi sana kwann hupig simu?asa tufanyeje jamani
Usituchukulie poa kabisa yani,Kila mtu anahitaji space in life...men are not special katika hili.. shida ni kudate wenza wasiojielewa...hawajui kama saa hii mpenzi ako na shugli au ako free to communicate
Text zote hzo ni wthin 3minutesMateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Na zisipojibiwa pia muwe waelewa, lawama lawama ndo zinatuchosha sisi, inakuwa mwanaume ukirudi nyumani unakutana na loudspeaker Kutwa kelele ... Perepepe zinatuboaKumbeeeee ndo maana wanawake wanawapenda mashamba boy???? Maskini mdada wa watu ana stress hana wa kumwambia mme busy, mdada karudi jikoni/kutoka nje kakutana na shamba boy anauliza "samahani mama neema mbona huna kimya hivyo? Kuna shida yoyote?" ahaaa
anyway siungi mkono sms/calls ambazo sio za msingi lakini inabidi pale mtu umetoka kazini kuwa na mda na mkeo
wanaume wengine hamko romantic ndo maana mnalalamika
mfano gf wako kakutumia sms asubuhi "morning baby" mchana kakukaribisha chakula na kukuuliza kama umekula, jion kakujulia hali kama umeshatoka kazini, wajameni hapa kuna shida??
Kumjua mwanaume inahitaji akili ya ziada.