Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

Kwani hamuwezi kuishi bila kugombana na sisi?? Kwani lazima??
Tukirudi nyumbani tunataka amani no stress... Ova
Kwani hamuwezi kuishi bila kutukwaza? Mkirudi nyumbani tunahitaji pumziko kutoka kwenu.
 
Waa
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini hawapokei simu zenu. Ningependa niwaambie siri...

Sometimes, Wanaume
wanahitaji space..Si kila Muda ni wa mahaba
tu, Baby Baby this and that 24hours
zinatuboa.. Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi...They also need time with friends...

Sasa wewe unakazana kutext,asipojibu unakazana
kupiga...Utabaki kuwaza hakupendi,
anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua..Mahaba
yamezidi! Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi....Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema...

Otherwise utabakia kulalamika, Girls
do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga
kuku, kuku hawaongei,wewe una mdomo...Know
Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-
Know Your Customers! Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining!
waambie tyu maana wanakera... Kinomaaa

Unachat nae.. Unakua busy kidogo na shughuli zako. Mara kakupigia Ohio mbona kimya tena...

Nyangauuuuuuuuuuuu ..

Sipendi ujinga
 
Oooh kumbe inawahusu wasichana!!

Na nyie wavulana sasa kama mnahitaji space si muwe peke yenu ili muwe na space ya kutosheleza kabisa uweke hata semi. Siku na hao wasichana watakapohitaji space msije tu mkalalamika.
Tatizo ww hujaelewa ...cc kuna muda tunahitaj tuwe peke yetu Ili kujipa nafas ya kuwaza mambo mengine ...ila tatizo lenu nyie mnataka et kila SAA tugandane tuu ..kujibebisha...afu still bado mnataka hela sasa huo muda wa kuwaza namna ya kupata fedha tutautoa wapi
 
out
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini hawapokei simu zenu. Ningependa niwaambie siri...

Sometimes, Wanaume
wanahitaji space..Si kila Muda ni wa mahaba
tu, Baby Baby this and that 24hours
zinatuboa.. Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi...They also need time with friends...

Sasa wewe unakazana kutext,asipojibu unakazana
kupiga...Utabaki kuwaza hakupendi,
anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua..Mahaba
yamezidi! Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi....Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema...

Otherwise utabakia kulalamika, Girls
do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga
kuku, kuku hawaongei,wewe una mdomo...Know
Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-
Know Your Customers! Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining!
outstanding idea umetisha wadhungu wanasema you hit the nail on the head
 
Tatizo ww hujaelewa ...cc kuna muda tunahitaj tuwe peke yetu Ili kujipa nafas ya kuwaza mambo mengine ...ila tatizo lenu nyie mnataka et kila SAA tugandane tuu ..kujibebisha...afu still bado mnataka hela sasa huo muda wa kuwaza namna ya kupata fedha tutautoa wapi
Wewe ndio haujanielewa, jaribu nawe kumuelewa mwanamke kama ambavyo mnataka tuwaelewe.
 
Inahitaji muda mrefu sana kuwatambua wanawake, matendo yao, kauli zao na akili zao hakika walitofautishwa sana na Sisi wanaume.

Mwanamke wa umri wa miaka 30 anaweza kufanya kitendo ambacho mtoto wa kiume wa miaka 14 hawezi kufanya, hii yote ni kutokana na wao kuwa na akili ya kipekee (sijasema udhaifu)

Wataalam wa biology watueleze utofauti uliopo katika ubongo wa ME/KE
Bonge moja la tafsida, ngoja wanabaiolojia waje
 
Kwani hamuwezi kuishi bila kutukwaza? Mkirudi nyumbani tunahitaji pumziko kutoka kwenu.
Kumbe mnaweza kuwa watulivu na waelewa, lakini mnapenda kutucharua...
 
Waa

waambie tyu maana wanakera... Kinomaaa

Unachat nae.. Unakua busy kidogo na shughuli zako. Mara kakupigia Ohio mbona kimya tena...

Nyangauuuuuuuuuuuu ..

Sipendi ujinga
Usijali mkuu...
Habari imewafikia, na wasipoelewa tutawaelewesha
 
Brother umenena vyema. Mara nyingi maandiko yenye ukweli kutoka moyoni huwa yanafikisha ujumbe vyema. Ujumbe umefika STUNTER
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom