Hii ni kwenu wasichana

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini hawapokei simu zenu. Ningependa niwaambie siri...

Sometimes, Wanaume
wanahitaji space..Si kila Muda ni wa mahaba
tu, Baby Baby this and that 24hours
zinatuboa.. Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi...They also need time with friends...

Sasa wewe unakazana kutext,asipojibu unakazana
kupiga...Utabaki kuwaza hakupendi,
anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua..Mahaba
yamezidi! Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi....Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema...

Otherwise utabakia kulalamika, Girls
do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga
kuku, kuku hawaongei,wewe una mdomo...Know
Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-
Know Your Customers! Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining!
 
Mateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumilia
TMPSNAPSHOT1487246327639.jpg
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
 
hii mada lakini ni ya wasichana, in my opinion your wife sio msichana rather a lady.

kikikiikkkikk

usirushe mawe makubwa tambua ndo weekend inaanza.
 
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Hahahah pole sana mkuu... Mimi inanitokea sana, unakuta mtu anakuongelesha maongezi mengi wakati wewe umeconcetrate kwenye kitu kingine...
Hapo mpe kitenge cha wax au au handbag mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom