Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Tutaenda wote huko hukoiko pouwa, nimeahidiwa kupelekwa sehemu fulan amazing am just extra happy
vp wewe weekend yako vepeee
Tutaenda wote huko hukoiko pouwa, nimeahidiwa kupelekwa sehemu fulan amazing am just extra happy
vp wewe weekend yako vepeee
AhahahahahahHawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Mkipendwa shida, msipopendwaa shida. Viumbe gani nyie. KwendreeeeeniiMateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini hawapokei simu zenu. Ningependa niwaambie siri...
Sometimes, Wanaume
wanahitaji space..Si kila Muda ni wa mahaba
tu, Baby Baby this and that 24hours
zinatuboa.. Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi...They also need time with friends...
Sasa wewe unakazana kutext,asipojibu unakazana
kupiga...Utabaki kuwaza hakupendi,
anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua..Mahaba
yamezidi! Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi....Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema...
Otherwise utabakia kulalamika, Girls
do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga
kuku, kuku hawaongei,wewe una mdomo...Know
Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-
Know Your Customers! Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining!
Hahaha... ivi wanawake wa namna hiyo bado wapo??? Kama yupo nataka niweke booking
Hahaaa.. U r good husband. Kampooze plzHawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Dinazarde hujanimiss?Ahahahahahah
Ntafanya hivyo mkuu..Japo kosa langu ni la kuokotezaHahaaa.. U r good husband. Kampooze plz
Jaribu kuacha halafu baada ya wiki mbili rud uone kam vyumba vitakua havijaa. usijidanganye ukoNani kasema? Na inasemekana huwa wanaganda kwasababu ya hofu ya kuachwa
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Nimekumiss naona wife anakubana haswa hadi unamissikaDinazarde hujanimiss?
haaaa wote wewe na nani? Mkuu angalia sanaaa, ohoooooo (in maasai voice)Tutaenda wote huko huko
Nae atajifunza kitu kwako.... Nyie ndo waalim wetu. Good.Ntafanya hivyo mkuu..Japo kosa langu ni la kuokoteza
Jaribu kuacha halafu baada ya wiki mbili rud uone kam vyumba vitakua havijaa. usijidanganye uko
Teh teh...Usijali..Ngoja nimjaze awe anashinda nyumbani..Niwe huru kidogoNimekumiss naona wife anakubana haswa hadi unamissika
Kwani mnakoenda watu wengine hawaruhusiwi?..Acha ubaguzi banahaaaa wote wewe na nani? Mkuu angalia sanaaa, ohoooooo (in maasai voice)
tehe tehe teheMateso haya anayoyapata huyu binti sio ya kuvumiliaView attachment 471335
Hawa viumbe sometimes hawajui hata kusoma mood ya mtu..
Juzi nimetulia nacheki game home, Wife na yeye ndo akaona muda mzuri wa kunisimulia habari za kazini kwake..Mi nikawa naitikia tu bila kuelewa hata anaongea nn..Kesho yake ananiuliza sikumbuki hata moja..Amevimba hadi leo..Hapa nafikiria zawadi ya kumpoza
Haha sawa kazana umjazeTeh teh...Usijali..Ngoja nimjaze awe anashinda nyumbani..Niwe huru kidogo
Sasa apo mweny kosa sio Mme ni mke mwnyew coz co kila MTU anapenda mistori ya ajabu ya ugonjwa na wagonjwa wako vipi uko mawodini.....at list angebadilisha story buanaa khee ata mim ningamaindi....!Bora umsikilize siku alinyanaza utajuta. Kuna Jirani ameoa Dr. Mke akirudi home kama kakutana Na wagonjwa WA ajabu ana simulia mmewe, Mme akachoka akasema sitaki story zako. Basi mke akanyamaza mpk Leo huko ndani hakuna maongezi zaidi ya salama mke Kapata sehemu ya kuongea Na kutoa yaliyo moyoni mwake. Mme kaomba msamaha lakini tayari asha haribu