Hii ni kwenu wasichana

Hii ni kwenu wasichana

Msiwe mechanical sana wakati mwingine!
Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa? Do you real love and care your wife? Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira. Kichwa maji hicho!
Halafu akipata mtu mwenye uwezo wa kumfariji na akamtindua unalalamika!!!
Badilikeni wabongo achana na mambo ya kizamani!
Sizungumzii mabinti wa mtaani wa baby baby sijui! Mkeo, be serious man! Unataka akamwwleze nani shida zake sasa?
Umeanza vizur ila ulipofika kwny WABONGO ndo umearibu maana ya maneno yako yote
 
Msiwe mechanical sana wakati mwingine!
Kama mkeo anasumbuliwa kazini ni nani wa kimfariji sasa? Do you real love and care your wife? Mchana wote ulikiwa kazini au kwwnye mitikasi yako. Umerudi badala ya kukaa na kuongea na watoto na mkeo uko busy na mpira. Kichwa maji hicho!
Halafu akipata mtu mwenye uwezo wa kumfariji na akamtindua unalalamika!!!
Badilikeni wabongo achana na mambo ya kizamani!
Sizungumzii mabinti wa mtaani wa baby baby sijui! Mkeo, be serious man! Unataka akamwwleze nani shida zake sasa?
VP inapotokea Mme amefilisika mbona mnawageuka mnakua hamtak hata kuwaona...mnaanza kusubiria fedha za kuhongwa... Tatizo lenu ..mnajichukulia nyie n special saaana ...[HASHTAG]#upuuz[/HASHTAG] mtupu
 
Wanaume bhana !ukimpigia cm kila siku atasema anahitaji space na blah blah kibao ukikaa kimya utashangaa unaambiwa unakiburi sana kwann hupig simu?asa tufanyeje jamani
Ww ndo mwenye matatizo kumbe unatoka na wanaume wengi afu wote unataka kuwa control ase hutaweza
 
Hahaha... ivi wanawake wa namna hiyo bado wapo??? Kama yupo nataka niweke booking
Wapo mkuu wanaboa si kidogo, muda wote baby baby utafikiri ulizaliwa nae dakika moja.

Jinga sana hii toto
 
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini hawapokei simu zenu. Ningependa niwaambie siri...

Sometimes, Wanaume
wanahitaji space..Si kila Muda ni wa mahaba
tu, Baby Baby this and that 24hours
zinatuboa.. Wanaume wameumbwa tofauti, they need to be alone sometimes kufanya other issues, si kwamba wewe sio muhimu, ila kuna ya muhimu zaidi...They also need time with friends...

Sasa wewe unakazana kutext,asipojibu unakazana
kupiga...Utabaki kuwaza hakupendi,
anakupenda sana ila humpi muda wa kupumua..Mahaba
yamezidi! Too much of anything is harmful, kuwa na kiasi....Mjue mpenzi wako, Ongea nae, utajua haya ninayosema...

Otherwise utabakia kulalamika, Girls
do your Homework, usiishi na mpenzi kama mfuga
kuku, kuku hawaongei,wewe una mdomo...Know
Your Lover(KYL), maana hata Benki wana KYC-
Know Your Customers! Ukielewa itakusaidia! Stop Complaining!
Hahahaaa you kill the dog.
 
Kila mtu anahitaji space in life...men are not special katika hili.. shida ni kudate wenza wasiojielewa...hawajui kama saa hii mpenzi ako na shugli au ako free to communicate
 
Kumbeeeee ndo maana wanawake wanawapenda mashamba boy???? Maskini mdada wa watu ana stress hana wa kumwambia mme busy, mdada karudi jikoni/kutoka nje kakutana na shamba boy anauliza "samahani mama neema mbona huna kimya hivyo? Kuna shida yoyote?" ahaaa

anyway siungi mkono sms/calls ambazo sio za msingi lakini inabidi pale mtu umetoka kazini kuwa na mda na mkeo

wanaume wengine hamko romantic ndo maana mnalalamika

mfano gf wako kakutumia sms asubuhi "morning baby" mchana kakukaribisha chakula na kukuuliza kama umekula, jion kakujulia hali kama umeshatoka kazini, wajameni hapa kuna shida??

Kumjua mwanaume inahitaji akili ya ziada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom