Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,585
- 5,758
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.
Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"
NB. Nipo tayari kurekebishwa.