Hii ni HATARI kwa CHADEMA!

Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.
naona unapenda sana kutoa ushauri na usikilizwe,naomba ukamshauri gamba J50 na vikaragosi vyake
toa upupu wako hapa,una bahati hauonekani!!!!!!
 
"WHEN THINK ALIKE, NO ONE IS THINKING"
"Things are not alike thats why everyone is thinking"

Wana mageuzi kuambiana ukweli ni jambo la kawaida. Anapotokea mmoja au kikundi kisichopenda kukosolewa tutaishia kutumbukia shimoni.

Wakati umefika mawazo chanya juu ya mambo yote yanayofanywa na wanamageuzi kuwekwa wazi kwenye mitandao wasome kwa muda wao. Wakijirekebisha sawa wasipofanya hivyo uma utawarekeisha. Kiongozi bora hukubali kurekebishwa. Hakuna mungu mtu.
 
Ngoja nami nijaribu kuorodhesha mapungufu ya CHADEMA yetu:
-Mtandao hafifu wa kichama.
-Mashabiki wengi kuliko wanachama ambao hata kadi za kupiga kura hawana.
-Wanachama wenye jazba, hasira na munkar kupita kiasi. Hijab ya yule DC Fatma imewagharimu kura nyingi tu.
-Mawakala wa kukodi wa nini? Kura zinapigwa na wanaIgunga. CHADEMA haiwaamini hawa.
-Hawakuwaambia wanaIgunga kilichosababisha uchaguzi ule mdogo kuwa ni CCM na magamba yake.
-CHADEMA na Viongozi wake kung'ang'ania agenda zilezile kila mahala.
-CHADEMA haijajitofautisha na CCM kwa mambo mengi tu.

Hapo kwenye red sikubaliani na ww hata kidogo.
Kwa kweli huwa nashindwa kuelewa kuwa siku hizi kuna watu wenye uraia wa tanzania na wengine ni raia wa nchi inayoitwa CHADEMA. Hivi hao maelfu ya waandamanaji ni watanzania wanaopingana na mfumo wa uchumi uliopo nchini Tatanzania au ni chadema? Jamani tumieni akili zenu kupambanua mambo. Mnasema kuwa watanzania wanaounga mkono chadema ni wakorofi, kwa hiyo mlitaka wakae kimya kama kondoo wakati maswali yafuatayo hayana majibu:-
walionunua rada na ndege kwa bei wizi hawajafikishwa mahakamani, Kampuni fake za Kagoda, Meremeta n.k zilizokwapua mamilioni ya EPA wamiliki wake hawajulikani, makatibu wakuu kukusanya fedha kwa ajili ya kuhonga wabunge ili wapitishe bajeti zao bado wapo maofisini, serikali inatoa wanyama wa taifa kama zawadi, ufujaji mkubwa wa fedha za halmashauri na wahusika bado wanazurura mitaani, Gavana wa benki kuu anafia nje ya nchi akiwa nakesi ya kujibu, uchumi mbovu, huduma duni za afya, umeme hakuna, maji hakuna, walimu hakuna, wamama wajawazito wanafia kwenye mikokoteni ya ng'ombe wakati mawaziri wanaendesha magari ya milioni 240.
BADO MNATAKA WATANZANIA WAKAE KIMYA WASIONGEE KWA SABABU WATAVURUGA AMANI.......
 
Kuna watu ukiwasoma na jinsi wanavyoikosoa cdm unawaona wana hoja za msingi na wala huwa hawashambuliwi!Kama taasisi imara cdm inakabiliwa na changamoto nyingi ili iendelee kuwa imara zaidi.Lakini mashabiki wengi wa CCM wanakosoa cdm kipropaganda zaidi na hawaonekani kuwa na hoja za msingi ndomana utaona akina crashwise,feedback na wengine wanawashambulia sana.Wanakuja na propaganda humu jukwaani huku wenyewe wakiziita hoja!Utakuta mtu anaongelea yafuatayo huku yeye akiona ni hoja.
1.Udini (ukatoliki)
2.Ukabila
3.chama cha familia
4.Chama cha fujo na upupu mwingine mwingi ambao ni wa kupikwa.Watu hawawapendi mwenyekiti na katibu kwasababu combination yao imefanya chama kikue kwa kasi na hata kutishia ulaji wao.Kudhihirisha kwamba ni taasisi imara imevuka propaganda zote hizo na kila siku imeendelea kujiongezea wapiga kura.(rejea uchaguzi wa igunga).Nafahamu hakuna taasisi inayokosa mapungufu yake lakini wakosoaji wengi wa cdm wanapakaza propaganda na wanapojibiwa vibaya wanaona cdm hawakosoleki.Ingekuwa ni taasisi ya kidikteta(isiyopokea ushauri)wala isingeweza kupiga hatua kisiasa na kukubalika kila siku.Chaguzi zote ambazo cdm inashiriki inaongeza idadi ya kura zaidi ukilinganisha na zilizopita.Therefore cdm is growing fast with strengthening challenges.
 
Kwa kweli mimi namuunga mkono Lu-ma-ga kuwa CCM wametunyanyasa vya kutosha, inabidi waachie ngazi wapishe wengine watuongoze, ukiangalia mafisadi, wa mali za watanzania wote wametokea CCM, hivi watatunyonya hivi hadi lini? Hata hayati baba wa Taifa leo angepata fursa ya kuamka kutoka mautini na kuiona Tanzania nahisi angetokwa na machozi. Viongozi hawatujali sisi watanzania, wanajali maslahi yao na familia zao. Tutakuwa WADANGANYIKA mpaka lini? :sleepy:

Umejinyong'onyeza mpaka unatia huruma, nikwambie tu usipoteze muda kumtafuta masiha-Mwanasiasa, hayupo.

Jililie wewe na nafsi yako, na uanza leo kuutafuta ukombozi kupitia fursa na rasilimali zilizopo, inawezekana!!
 
Hatuhitaji kukurekebisha sana ni kukujulisha kwamba, tumenyanyaswa kwa muda mrefu na CCM , tumedhalilishwa sana na CCM, tumeibiwa sana na CCM, tumefungwa sana na CCM na sasa tumepata mkombozi wa kutpeleka nchi ya ahadi TANGANYIKA.

CDM ndiyo musa wetu wa kuttoa Misri na kutupeleka Nchi ya ahadi yenye Madini na ardhi yenye rutuba , nchi yenye mbuga za wanyama wa kila aina na nchi ya watu wakalimu.

Ebu acha kusubiri mkombozi, mkombozi wako kamwe hawezi kuwa serikali, ni wewe mwenyewe, katu hakuna na hakutakuwa na nchi yenye asali na maziwa kwa watu wote.

Ata kama utawala utabadilika believe me ukiwaondoa viongozi wa kisiasa, watakaoendelea kunufaika na rasilimali za nchi hii katika jamii ni walewale walioziona fursa na kuzitumia leo hii, ujamaa ulishakufa na hautarudi tena, ata weusi wa Afrika Kusini hawakulijua hili lakin sasa wanalitambua, http://www.abc.net.au/pm/content/2003/s859634.htm,

Keep it in your head, siku zote za maisha yetu hapa duniani watakuwepo watu wanaofurahia maisha na wapo watakaokuwa wanalia kwa ugumu wa maisha,uwezo wa uchaguzi huo upo mikononi mwako, chagua upande.

..........REJEA KILIO SOUTH AFRICA...

SA is now worse than apartheid state, says Tutu

Archbishop Emeritus Desmond Tutu expressed outrage on Tuesday on the government's failure to grant Tibetan spiritual leader the Dalai Lama a visa.

"Our government is worse than the apartheid government, because at least you were expecting it from the apartheid government," Tutu said in Cape Town at a press conference.

"We were expecting we would have a government that was sensitive to sentiments of our Constitution," Tutu said.

"The trouble is that the ANC on the whole reckons that the freedom that we enjoy is due to them. They reckon everyone else is just a sideline."

Tutu shouted and shook his finger as he spoke: "Hey Mr Zuma, you and your government don't represent me. You represent your own interests.

"I am warning you out of love. I am warning you like I warned the nationalists that one day we will start praying for the defeat of the ANC government. You are disgraceful."

"We will pray as we prayed for downfall of apartheid government, we will pray for downfall of a government that misrepresents us," Tutu shouted.

"The nationalists had a huge majority. They ate dust," Tutu said.

He said the ANC had a large majority, but so did former Egyptian president Hosni Mubarak and former Libyan leader Muammar Gaddafi, both of whom were overthrown in popular uprisings.

http://mg.co.za/article/2011-10-04-government-worse-than-apartheid-says-tutu/.
 
Ngoja nami nijaribu kuorodhesha mapungufu ya CHADEMA yetu:
-Mtandao hafifu wa kichama.
-Mashabiki wengi kuliko wanachama ambao hata kadi za kupiga kura hawana.
-Wanachama wenye jazba, hasira na munkar kupita kiasi. Hijab ya yule DC Fatma imewagharimu kura nyingi tu.
-Mawakala wa kukodi wa nini? Kura zinapigwa na wanaIgunga. CHADEMA haiwaamini hawa.
-Hawakuwaambia wanaIgunga kilichosababisha uchaguzi ule mdogo kuwa ni CCM na magamba yake.
-CHADEMA na Viongozi wake kung'ang'ania agenda zilezile kila mahala.
-CHADEMA haijajitofautisha na CCM kwa mambo mengi tu.

Unayoyaona ni mapungufu kwa mtazamo wako ndio nguvu ya Chama cha Chadema, yakiondoka hayo CCM inapata mwanya zaidi kuharibu upinzani. Mfano CUF, NCCR, n.k. wako wapi ?

Chadema isibadilishe style vinginevyo itaingia mtegoni na kusambaratika. CCM inalala inaota lini viongozi wa juu wa chadema wataondoka madarakani ili wapandikize mamluki wao.
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Ni kweli kabisa mkuu, cdm si kwamba haina mapungufu la mapungufu yapo kwa sababu inaongozwa na watu na kwa kuwa hakuna aliye mkamilifu hivyo hatuwezi kusema haina mapungufu lakini kwa kuwa tuna kazi ya kupambana na adui wa nchi yetu ccm ni lazima tuungane kumng'oa huyu adui namba 1 kwanza then tuigeukie cdm
 
-CHADEMA na Viongozi wake kung'ang'ania agenda zilezile kila mahala.
-CHADEMA haijajitofautisha na CCM kwa mambo mengi tu.
Kabla sija kujibu hebu naomba unifafanulia hapo juu....mfano angenda zilizo tumika huko Igunga ambazo ni za kila siku ni zipi na hatujajitofautisha na CCM kwa lipi.....
 
unaposema hauwezi kosoa palipo safi unamaanisha chadema nh wasafi?
0Kamanda unaposema yule ni mnene lazima unalinganisha na mwingine...hivyo unaposema chadema wasafi unalinganisha na chama gani hivyo ulie m-quote anaweza kuwa sahihi 100% mfano kama atakuwa analinganisha na CCM, CUF, UDP..................nk
 
tu sidanganyane kuwa CDM ndo makini. Wana mapungufu makubwa tofauti na CCM hawana.tofauti ni ndogo tu kuwa CDM hawajashika dola. Lakini mambo yanayo fanywa CDM NA CCM ni sawasawa .afadhali ccm mambo yao hufanywa wazi. Lakini baba CDM ni hatari tena kuna hatari ya kuwepo vita mbele kama kuna mashabiki walodata. Sasa tukumbuke kina kafulila waliondolewa na mbowe na slaa walipojifungia chumbani. Kafulila alishinda nafasi ktk baraza la vijana ndo hadi leo Zitto haaminiki ndani ya CDM anatumika tu kama nguzo ya kushikiza lakini anatafutiwa dawa ili nguzo hiyo ikiondoka isilete madhara. Kuna mengi tu . Pale zitto alipochukua form ya wenyekiti akazuiwa na wazee wa chama akina mtei,makani, nakauli ya mtei ni hii( hatuwezi kukubali kuuza chama kwa mtu tu) maana hiyo siyo rahisi kumng'oa mbowe huyu ni dikteta. Tofauti na CCM hata na CUF. Kwa Cuf tuliona wazi kabisa prof Safari v/s prof Lipumba. Wakaingia ringini. Mpambano ukaanza hatimae safari alishindwa. Hii ndo demokrasia. Kilicho muuma safari alidhihakiwa na wana chama kutokana na kutojijenga sana ktk chama. Tuone Mbowe v/s nani,? Kama sikuminya demokrasia ndani ya chama ndipo walipomzua zitto asiingie kabisa kwenye ringi na mbowe alitangazwa bingwa bila ya kuwa na mpinzani. So hawa hata wakipewa madaraka ndo wataibana demokrasia. Mungu saidia wasije chukua nchi hawa CDM. Maana itakuwa balaaa we chaguzi wakinamama vurugu na vijana nivurgu hivi tutapona chademaa vitaa
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Uliwahi kumkosoa nani na kwa lipi na ilikuwa ni kwa nia gani!?maana wengine huwa mnatumika vibaya humu jamiiforum sasa unatazamia sisi tukuchekee!?
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Mkuu usilalamike Chadema ilianza kufanya vizuri tangu hawa viongozi waliopo madarakani walipo chukuwa madaraka. Ukuaji wa chama umekuwa progressive na hii inamaana kwamba strategy zao bado zinafanya kazi. If it is working why fix it? kumbuka siyo kila mwenye maoni kwa chadema anaitakia chadema mema, unaweza ukawa umetumwa kuvuruga tu chama mzee. Na kama Mungu hataki maoni yako yatakataliwa tu maana yanataka kuharibu na kuendeleza mateso ya watu wake!
Nadhani kuna maoni ya watu wengi tu humu JF na kwinginey alishawahi kutumiwa na Chadema.

Kama kweli una maoni ya msingi ambayo sisi wengine hatuoni basi wake hapa tuyadadavue wote maana hapa tuko wengi lazima ufumbuzi utapatikana. Hata viongozi wa chadema pia wapo hapa JF wanaweza kutoa maelezo.
 
tu sidanganyane kuwa CDM ndo makini. Wana mapungufu makubwa tofauti na CCM hawana.tofauti ni ndogo tu kuwa CDM hawajashika dola. Lakini mambo yanayo fanywa CDM NA CCM ni sawasawa .afadhali ccm mambo yao hufanywa wazi. Lakini baba CDM ni hatari tena kuna hatari ya kuwepo vita mbele kama kuna mashabiki walodata. Sasa tukumbuke kina kafulila waliondolewa na mbowe na slaa walipojifungia chumbani. Kafulila alishinda nafasi ktk baraza la vijana ndo hadi leo Zitto haaminiki ndani ya CDM anatumika tu kama nguzo ya kushikiza lakini anatafutiwa dawa ili nguzo hiyo ikiondoka isilete madhara. Kuna mengi tu . Pale zitto alipochukua form ya wenyekiti akazuiwa na wazee wa chama akina mtei,makani, nakauli ya mtei ni hii( hatuwezi kukubali kuuza chama kwa mtu tu) maana hiyo siyo rahisi kumng'oa mbowe huyu ni dikteta. Tofauti na CCM hata na CUF. Kwa Cuf tuliona wazi kabisa prof Safari v/s prof Lipumba. Wakaingia ringini. Mpambano ukaanza hatimae safari alishindwa. Hii ndo demokrasia. Kilicho muuma safari alidhihakiwa na wana chama kutokana na kutojijenga sana ktk chama. Tuone Mbowe v/s nani,? Kama sikuminya demokrasia ndani ya chama ndipo walipomzua zitto asiingie kabisa kwenye ringi na mbowe alitangazwa bingwa bila ya kuwa na mpinzani. So hawa hata wakipewa madaraka ndo wataibana demokrasia. Mungu saidia wasije chukua nchi hawa CDM. Maana itakuwa balaaa we chaguzi wakinamama vurugu na vijana nivurgu hivi tutapona chademaa vitaa

Kila kitu kinao muda wake,hivi unafikiri kila mmoja akiamua kugombania nafasi ya juu mfano ya uraisi sbb katiba ya Jamhuri ya Muingano Wa Tanzania inamruhusu(inampa haki)kufanya hivyo hivi patatosha?.Ndio maana pakawepo pia wazee Wa Chama kwa ajili ya kutoa ushauri,pia Pia ktk kila chama pana taratibu zake za kumchagua Mwenyekiti/Katibu na wengine pia kabla ya kumchagua Mwenyekiti au Katibu tunapaswa pia kujiuliza huyu tunaemtoa je ipo sababu ya kumtoa!?Mamluki pia wapo ktk vyama sana kwa ajili ya kukididimiza chama,watu Wa aina hiyo ni Wa kuwaogopa na kuwaepuka sio kila ushauri atautoa mtu Fulani na ukatekelezwa bila kuufanyia kazi.
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Hata tabibu hutibiwa.......
 
Ni kweli kuwa CDM inaongozwa na binadamu wa kawaida japo ni kweli vilevile kuwa uongozi wa sasa unauwezo mkubwa wa kuongoza na kwa maana hiyo umejijengea heshima kwa watu walio wengi. Hayo mawili yakikubalika na yote yakazingatiwa wakati wakukosoa, haitakuwa rahisi kuonekana kama msaliti. Tatizo, ambalo nimeliona kwa watu wengi, ni yale mameno yanayotumiwa wakati wa kukosoa; kwa mfano, mtu anposema " lakini usisahau kuwa Mheshimiwa Mbowe ni mchaga!" Wewe unadhani, kwa maneno hayo unataka kukosoa nini? Hata maoni yako ya kiheshimiwa, unadhani Mbowe au wana CHADEMA watafanya nini kumfanya asiwe mchaga? Nani unataka akuheshimu katika hilo?. Kwa bahati nzuri, moja ya tamaduni za Watanzania ni kuheshimiana. Hebu fikiria, mtu akisema itikadi ya CHADEMA ni ubepari, na ubepari umeonyesha kushindwa katika kuendesha uchumi wa nchi za magharibi( Italia,Uturiki, ureno na Hispania) ni mifano mizuri. Mtu huyo akasema ingekuwa vizuri CHADEMA ikaanza kufikiria itikati za mrengo wa kati ( 50% ubepari+ 50 % ujamaa). Nani anaweza kusema wewe ni msaliti?
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Mmm, ndugu naona kama kauli zako ni jumuishi na fagizi mno. Yaani wote ulioongea nao walikupinga na wewe una hakika ulikuwa unakosoa kwa kujenga? Inawezekani hoja yako uliiwasilisha vibaya au hukueleweka jaribu tena kuwasomesha kama uko sincere watakuelewa tu.
 
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"

NB. Nipo tayari kurekebishwa.

Upo tayari kurekebishwa au upo tayari kutukanwa!
 
Back
Top Bottom