Sasa sio mlima Kilimanjaro tu, hata Tanzania yenyewe ipo ndani ya Kenya, nimecheka hapa mpaka mbavu zinauma....
hivi huko kenya hakuan JF za kenya? unapaswa uwe ignored na kila mtu kwasababu unaongea mambo ya kitoto sana.Tanzania ni mkoa wetu wa kusini.....hehehe
Sisi tuko JF Kenya section. Badala ya kulalamika mbona usiende JF Mapenzi section ulikozoea?hivi huko kenya hakuan JF za kenya? unapaswa uwe ignored na kila mtu kwasababu unaongea mambo ya kitoto sana.
hivi huko kenya hakuan JF za kenya? unapaswa uwe ignored na kila mtu kwasababu unaongea mambo ya kitoto sana.
Hao wanaodhani Tanzania iko ndani ya KenyaHehehe!! Akina nani wapewe pole.....
Kenya ni nchi ndogo sana kwa tanzania ni sawa na wilays yetu ya njombeTanzania ni mkoa wetu wa kusini.....hehehe