Bodi ya Maziwa: Licha ya Tanzania kuwa Namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe Afrika, Nchi inaupungufu wa Lita Bilioni 9 za Maziwa Tunazoagiza Nje

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,737
Tanzania ni namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe na mifugo mingine kiujumla tukiwa nyuma ya Ethiopia. Pamoja na ukweli huo bado Nchi inakabiliwa na upungufu wa Lita Bilioni 9 ambazo zinaagizaa kutoka Nchi jirani hasa Kenya na Uganda ikiwa uzalishaji wa ndani ni Lita zisizozidi Bilioni 4 Kwa mwaka.

View: https://youtu.be/mXbB8RcP7no?si=_mvsDv_B7dvxONuX

My Take
Pamoja na kwamba hii ni aibu ila ni fursa Kwa Vijana kuichangamkia.

Pia soma Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje
 
Tuna ng'ombe wa kutoa nusu lita kwa siku!!
Na hiyo ndiyo changamoto, wakati hapo kwa waarabu ng'ombe mmoja anatoa kati ya lita 60 hadi 100 kwa siku. Yaani kampuni moja tu ya ufugaji inanywesha maziwa hadi kusafirisha nchi jirani
 
Tanzania ni namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe na mifugo mingine kiujumla tukiwa nyuma ya Ethiopia. Pamoja na ukweli huo bado Nchi inakabiliwa na upungufu wa Lita Bilioni 9 ambazo zinaagizaa kutoka Nchi jirani hasa Kenya na Uganda ikiwa uzalishaji wa ndani ni Lita zisizozidi Bilioni 4 Kwa mwaka.

View: https://youtu.be/mXbB8RcP7no?si=_mvsDv_B7dvxONuX

My Take
Pamoja na kwamba hii ni aibu ila ni fursa Kwa Vijana kuichangamkia.

Pia soma Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje

Hii nchi ni kama imejilaani yenyewe kwa kumuua Magufuli, viongozi waliopo ni kama hawapendi maendeleo
 
Tanzania wanajifanya wana ngombe wengi,lakini linapokuja suala la kunywa maziwa ,inakuwa kama anasa
Kuna watoto hapa ukiwauliza mara ya mwisho umekunywa maziwa lini hajui

Ova
 
Tanzania ni namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe na mifugo mingine kiujumla tukiwa nyuma ya Ethiopia. Pamoja na ukweli huo bado Nchi inakabiliwa na upungufu wa Lita Bilioni 9 ambazo zinaagizaa kutoka Nchi jirani hasa Kenya na Uganda ikiwa uzalishaji wa ndani ni Lita zisizozidi Bilioni 4 Kwa mwaka.

View: https://youtu.be/mXbB8RcP7no?si=_mvsDv_B7dvxONuX

My Take
Pamoja na kwamba hii ni aibu ila ni fursa Kwa Vijana kuichangamkia.

Pia soma Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje

Kati ya hizo lita billion 4 kwa mwaka, lita billion moja na nusu inazalishwa Meru. Wameru wakiamua kumwaga maziwa kutoka milimani ni mafuriko ya hatarii inasomba makabila yote vamizi.

Chaliifrancisco
 
Tanzania ni namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe na mifugo mingine kiujumla tukiwa nyuma ya Ethiopia. Pamoja na ukweli huo bado Nchi inakabiliwa na upungufu wa Lita Bilioni 9 ambazo zinaagizaa kutoka Nchi jirani hasa Kenya na Uganda ikiwa uzalishaji wa ndani ni Lita zisizozidi Bilioni 4 Kwa mwaka.

View: https://youtu.be/mXbB8RcP7no?si=_mvsDv_B7dvxONuX

My Take
Pamoja na kwamba hii ni aibu ila ni fursa Kwa Vijana kuichangamkia.

Pia soma Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje

Wakati mnaua ranchi za Taifa pamoja na Kiwanda cha maziwa, mlitegemea wamasai ndo watainywesha nchi maziwa?

Hizi confession zinapaswa kutumika kwenye kampeni za uchaguzi ili kuonesha namna ambavyo CCM imefaulu kuua kila sekta nchini
 
Ranch zimeuliwaje? Ranch zipo ila inatakiwa kupewa wawekezaji wakubwa wenye mitaji Ili zijiendeshe au laa ziwe na sheria very independent kwamba zimesajikiwa kibiashara na bidi zao Ili ziwe na full mandate zijiamulie mambo yake , Serikali isubirie gawio.
 
Tanzania ni namba 2 Kwa Wingi wa Ng'ombe na mifugo mingine kiujumla tukiwa nyuma ya Ethiopia. Pamoja na ukweli huo bado Nchi inakabiliwa na upungufu wa Lita Bilioni 9 ambazo zinaagizaa kutoka Nchi jirani hasa Kenya na Uganda ikiwa uzalishaji wa ndani ni Lita zisizozidi Bilioni 4 Kwa mwaka.

View: https://youtu.be/mXbB8RcP7no?si=_mvsDv_B7dvxONuX

My Take
Pamoja na kwamba hii ni aibu ila ni fursa Kwa Vijana kuichangamkia.

Pia soma Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje

Sasa hizo li board la maziwa kazi yake ni kukusanya data au?
 
Back
Top Bottom