Hi, am a new member!

Hi, am a new member!

Ili mmea uote lazima mbegu ioze, kwahyo ili haya mambo yanayofanywa na taasisi zetu za kiserikali yakome inabidi wananchi inabidi wananchi tuchukue hatua!
 
Just to introduce myself to other members of jamii forum.i am a new member, namely kenneth hilmar luoga nsumuka.i am interested in business,finance and economic matters.thanx
 
Hii ni plot ya mafisadi ikiongozwa na kamanda wao rostam,watanzania tusikubali kufa kwa njaa bali kwa risasi.
 
ni kweli hata sijui hata pa kuanzia wapi zilipo mada za ukweli na mambo yanayohusu tz ye2
 
Hodi katika dunia ya masasiliano na upambanuo wa mawazo sawia......jamani matokeo ya uchaguzi wa jana vp jamani?
 
Cha msingi ni kwamba naanza kuhudhuria rasmi kwenye uwanja huu hivyo tutajaribu kuchangia mada zote zitakazojitokeza hapa
 
Hi mimi ni mmoja wa WATANZANIA tunaoish nje, ninasikitishwa sana na wenzangu wengine ambao hutoa ushauri kama vile Nchi ilikuwa ina wahusu zamani na kuitazama tokea kwenye kidirisha kidogo. Nadhani tuache na badili yake tuchangie mawazo yenye msingi kama vile tupo ndani ya Ardhi ile. Mcheza kwao hutuzwa ndiyo maana wenzetu hata kizazi cha nne kuzaliwa USA bado anajiita "IRISH, JEW, INDIAN,CHINES or JAMAICAN lakini wewe mmatumbi umefika kwa yellow card tuu wajiita "American" na eti una comment as if hazikuhusu tena acha ushaaaamba home is best.
 
Its true, I've never before posted anything on this forum but I am glad I now have the chance to become an active participant.
I'd like to take this opportunity to thank everyone who has made it their effort to run this forum. I only had the chance to glimpse some of the rather brief outlines presented on the other shortlisted summaries of the JamiiForums but did'nt quite know how to reach out to the more massive outlays of this great educational field. Now that I am in, I am very thankful, and promise to make my enrolment active the best way I can.
I was born, nutured, educated and worked for a substaintial part of my youthful years in my beloved country, Tanzania. But now I live and work in the States. And I am happy to be a member of JamiiForum.
 
Back
Top Bottom