Hi, am a new member!

JF fellows...,salaam salaam

Mkulima wa sasa just joined certainly looking forward a great fun with JF family

Cheers :A S-eek:

Mkulima wa sasa
 
Wa Tanzania tuamke tunaibiwa rasimali zetu na hawa wahindi.Naushad Mohamed Suleiman anasafirisha dhababu kupitia uwanja wa ndege wa Zanzibar kila wiki zaidi ya kilo 200.Bila kulipa chochote serikali.Tunapoteza rasimali zetu na sisi tumekunja mikono tunawaacha hawa watajirike.

Ukifika hapo uwanja wa ndege wa Zanzibar kila jumaamosi au pengine Jumaapili na Kenya airwys inabeba madhabu na hela za kigeni kibao na Maafisa wetu wa uwanja wa ndege wanapewa pesa mbuzi tu.

Na Pale Daresalam kila Jumaatano na Emirates Kijana wa Kigoa kwa jina la Demelo akitumiliwa na Macsoms anafanya machafuko hay haya.
Tuziwie kabla hatujayayyuka.Tutumie rasimali kwa kunafaisha wananchi wetu sio kunenepesha hawa mapaka wa Kihindi.
 
Habari za Maisha waungwana wa Tanzania mimi leo naungana nanyi katika mtandao huu. Naomba niwambie kitu! Huu uchaguzi wa mwaka huu uwe wamafanikio usimchague ***** hata kama ni baba yako kwani athari zitakazotokea hata wewe zitakukumba, mfano ashindwe kutetea ujenzi wa barabara ambayo hata wewe unaitumia kusafiri halafu iwe mbovu siku moja unasafiri gari linadondoka unakufa au unakwatwa miguu, hiyo unakuwa umeikata miguu yako kushirikiana na huyo mtu unayehisi ni swahiba wako kumbe nyoka. Chagua kiongozi anayefaa.
 
HI TO ALL GREAT THINKERS GROUP!
i believe that God gave us a chance to Change Tanzania by voting on oct 2010.
Dr. Silaa is actualy a person who real knows how to run this country.
As activists" SILENCE OF OUR FRIENDS,HURTS MORE THAN NOISES OF OUR ENEMIES"
Kinachonifanya nimuoene Dr kama anaefaa ni kwa kua wataanzania pamoja na matusi,fedheha,hujuma,dhuluma but they are stil quety,hii ndio sababu DR. Silaa na mimi pia nikamunga mkono kwa kuingia kwenye kinyang'anyiro.
Hima Mutamwegwa,Prof Lipumba& Wagombea wengine kaeni chini tuunde NARC yetu,au kama mna ajenda nyingine muwe wazi!
MAY GOD BLESS US ALL AMEN
 
Halo watanzania habari ?halo guyz lets together join our effort to save this planet because nowdays there is huge effect on climatical change ,why dont we live in conserving way in this world?for those farmers like me lets together practice conservation agriculture through organic farming to save this planet au mwaonaje?
 
Halo tanzania,its again me insisting on 2010 general election,tusifanye makosa tena huu ndio wakati wa kufanya mabadiliko katika uongozi wa nchi yetu,usichague chama bali kiongozi anayefaa by consideration ya kwamba hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu.

KILA LA KHERI WATANZANIA WENZANGU.
 
Mimi ni mwanachama mpya, nafurahi kuona michango ya upeo wa juu hapa, nataka niwe moja wenu, nikubalini, ahsanteni sana
 
We should give true comments and live suggestions. We should not talk on hatred as you did on commenting about mambo tisa yaliyomdhalilisha Kikwete. I am leaving in Arusha. Snow Crest Hotel was not demolished!! It is there up to now. What Tanroads demolished is the fence of the Hotel not the Hotel as you have said. So if we will be realistic then our Jamiiforum will be used effectively
 
Ndugu zangu narudi tena kumtafuta rafiki kipenzi changu
DADA CHERU MKOMBO UKO WAPI?
MIMIM STANLEY NAKUTAFUTA.:mad2::tinfoil3:
 
Jamani hamjambo members wote wa Jamii Forum? Kwa kweli mmenigusa sana hadi kunifanya nami nijiunge na hii forum. Nyie ni makini sana na wenye kuguswa na mabo mabaya yaendeleayo kwenye jamii yetu na nchi yetu ya Tanzania kama mimi. Naombeni ushirikiano wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom