Hi, am a new member!

Hi, am a new member!

Jamani kuulamba ukiwa ofisini ni kosa ? Mwenzenu leo yamenikuta boss wangu kanikaripia kama mtoto mdogo mbele ya watumishi wenzangu kisa nimevaa suit na tai, kaahidi kunihamishia kijijini ili aone kama na huko nitaweza kuvaa suit na tai maana nitakuwa nashinda stoo. Sawa hiyooooooo !
 
thanx alot to JF . and i wish every body Mary chritmas ,
 
Jamani kuulamba ukiwa ofisini ni kosa ? Mwenzenu leo yamenikuta boss wangu kanikaripia kama mtoto mdogo mbele ya watumishi wenzangu kisa nimevaa suit na tai, kaahidi kunihamishia kijijini ili aone kama na huko nitaweza kuvaa suit na tai maana nitakuwa nashinda stoo. Sawa hiyooooooo !
Pole sana.....lakini hii ni topiki nyingine hapa sio mahali pake!
 
Hellow to you alll!!! Nawapenda wooooote except MALARIA SUGU. Nimekuwa msomaji mzuri sana hapa jf ila sikuwahi kujiunga, leo nimejiunga rasmi so naomba mnikaribishe kwa moyo mkunjufu! Thaaaaanx sana.:teeth:
 
itifaki izingatiwe wana jf,ndugu yenu ndo nimetumbukia humu tokea leo,
kwahiyo tusameane kwa mapungufu niliyoonesha,ukizingatia electron imepita mbali,
 
naomba mnikaribishe katika forum ya watu wenye akili zao na upeo wao wa kuchanganua mambo
 
i had my perent said to me that "you become like people you associate with" thats why am here to associate with you greate thinkers.

i hope sooner or leter i will be like you guys. thanks

together we can
 
Hi Guys..feels good to be a member of this site..again. I was living in the remote areas where internet was a nightmare, helping out in the rural communities.

Great thinking, Great views, Great dares!
 
Jamani hili la kupiga watu wasio na hatia ni kuficha maovu ya serilikali yetu kwa kutumia nguvu ?
 
Jamani wana JF ninasikitishwa na hao ndugu zetu wenye mila na utamaduni uliokomaa sana Afrika "Maasai". Wamekuwa bugudha au kero hapa Dar es Salaam. Ukikaa tu unastarehe mahali wanapita na dawa zao za miti shamba na kujifanya madaktari. Et wanauza Viagra ya Kienyeji utasikia wakisema "Nausa Dawa", siku nzima wanaaandamana kwenye mabaa. Hawapangi chumba ila wanalala kwenye majumba yanayojengwa na upenuni. Wazee wa Kimasai wasaidie, au wameporwa ardhi na ngombe kwao. Tuseme ardhi na rasimali zao zimechukuliwa na wawekezaji na mafisadi huko Loliondo na Mererani!!
 
Hello my fellow Tanzanians! I have to thank you on how you showed sense during balloting and for a proper utilisation of your voting right and duty. I did not expect people to turn out in balloting as it did in 2010 general elections. I drew my attention again that we can and we can surpass. Congratulation once again for good opportunity utilisation.
I hereby say now we have to open our eyes on how political system takes on and what we can suggest on the ruling government undertakings and comment.
I don't wish to bit about the bush any more but I am talking about the alarming incidence happened in Arusha this week.
I have just few questions to the ruling system.
1. What is good governance?
2. What is democracy in practice?
3. Who is a good leader?
Anyway! What happened in Arusha implies that no true good governance, democracy and leaders. Good leaders are the ones who feel pains of the group the lead and ready for any cost to upkeep peace and harmony as a whole and not in chunks as it does with CCM for self interest. I have seen that our ruling system is ready even to kill for minority welfare and benefit.
My expectation was that, Police force is for citizens safety and security and not killings as mushroomed in Arusha.
But let us not despare my fellow Tanzanians for we still have energy and still alive we wish to have more with good leadership and democracy in practice.
 
Back
Top Bottom