Hi, am a new member!

Hi, am a new member!

Nakuja kama kambarage nikitangaza unity... mwana wa pan afrika connectivity.. naandika kama sio kwamba nimekosa activity.. MTAISOMA CHADEMA
 
wapinzani mjifunze!! Am sure mngeungana na kucmamisha mgombea mmoja leo nchi ingekuwa yenu!!
 
Watanzania ambao wanapigwa mabomu na kutishwa wasikubali upuuzi huu. Kama kuna sehemu wanaona mambo si mambo waingie hata mitaani. Polisi wanaotumiwa na genge la mafisadi kuwatisha na kuwadhulumu wananchi wajue nao ni wananchi. Kuna siku watastaafu na kuona adha wanazowasababishia wananchi kwa kuwaridhisha wachovu wachache wanaoogopa kuondoka madarakani. Kila la heri alluta continua.
 
hali si shwari katika jimbo la kibaha maana hadi sasa matokeo yalikuwa bado na utata maana bado hayajatangazwa. kuna habari zinadai kwamba mgombea wa ccm mr koka ameshindwa na inafanyika namna ilimatokeo yaweze kumfanikisha awe mshindi dhidi ya mgombea kijana machachari mwenye miaka 24 Habibu mchange wa chadema. hali si shwari maana bado kuna vuta ni kuvute.
 
wakati msimamizi wa jimbo la kibaha mjini anatoa matokeo ya uchaguzi kumezuka vurugu kubwa baada ya kutaja chama cha cuf, hatimaye chadema ambapo amesema chadema wanasemekana wamepata kura 10000 wakat msimamiz anatangaza ccmkuwa wamepata kura elfu kumi na nne wakat hajamalizia kukazuka vurugu kubwa sana sana.
 
JF is the house of thoughts, since i am a revolutinalist i will follow the rules and express my mind openly
 
Hello. Im happy to join te forum. I pray i will be able to contribute something of value thanks.
 
am ailso congrats mr David Silinde 4 his great job and to be selected as a Mbunge of mbozi magharibi i hpe yy ni tumaini la wengi
 
I wish to thank God for finding Jamii Forum, a perfect place where I can pour my heart; I was trying to get a way of expressing my appreciations to Honourable Maalim Seif Sharif Hamad for his short but blessing message that he gave after the Zanzibar 2010 election results were announced Yesterday night over the ITV.

For years I have been following up Honourable Maalim Seif Sharif Hamad's politics in Zanzibar but part of my heart was in darkness regarding him. Yesterday, for a very short time I accepted him as a genuine people's leader from God as I found no guile in him.

Equally, I wish to congratulate the Outgoing ZNZ president His excellence Karume for laying down the fertile foundation upon which his successor Honourable Dr. Shein, Honourable Maalim Seif and their team shall build... He laid down the foundation of PEACE.
Mungu isamehe Tanzania, Mungu imulikie Tanzania, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Tupe viongozi uliowakusudia katika uchaguzi wa 31 Oktoba 2010... AMEN.
 
Hello Jamii Forum,

I am glad to join JF hopping to learn much more, and gain much more!!!

Mushumbusi
 
Back
Top Bottom