Hi, am a new member!

Hi, am a new member!

Yawezekana ikawa kweli ! kuna jamaa yangu alikuwa naye wa hivyo ngoja nimuulize anapagawa na nini ili namimi niliamini hilo!!!!!
 
Kitendo cha wabunge wa chadema kumwacha solemba jk jana bungeni ni cha kishujaa sana. Hiyo ni rekodi nchini. Nawapa big up chadema waendelee kuipigania tanzania yetu ili iwe na uhai unaotakiwa.
PHP:
 
katiba ni dira ama ramani inayotumiwa na nchi kuongoza watu wake kwa kufuata sheria,taratibu,mwongozo, kanuni zilizowekwa. nasikitika kusema kuwa tanzania imekoswa muongozo sahihi (katiba) hivyo nchi kuendeshwa na kundi dogo kulingana na wanavyo taka. kundi hili hutawala wanavyo taka bila hofu kwa kujua makusudi nchi ina mapungufu makubwa, wasafiri (wananchi) waliomo hawana ramani wala dira hawajui waendako, pamoja na hayo bado walio na dhamana ya kuongoza hawataki kushtuka kwamba abiria sasa wanafahamu kuwa wamepotezwa njia na wanaitaji mambo mawili; kwanza, dira au ramani sahihi ioneshayo waendako itolewe na isahihishwe maana tulishapotea; pili, safari ifuate mwongozo huo.

katiba ndio nguzo pekee itakayo saidia kutufikisha huko tunapo pafikiria kama sio sisi basi watoto wetu, nchi yoyote inapo kosa katiba madhubuti basi inakuwa vulnarable, tanzania tunaendelea kunyemelea hatari nyingi kama bado hatuta washurutisha viongozi wetu kufanya mabadiliko haraka ya katiba tena tusichelewe zaidi maana, viongozi wetu watatupa wakati mgumu sana kuirudisha nchi katika dira sahihi endapo hatutaungana kupinga udhalimu, wanaoutenda kwa wananchi ambao wengi wao bado hawajui wanapelekwa kwenye hatari ya kufa huku wakiimba nyimbo za viburudisho na mipasho. kweli inatia huruma na hasira kwa mtu aliye kwisha soma alama za nyakati.

ukweli tanzania haina amani tanzania haina utulivu, iko wapi amani kwa mtu mwenye njaa? ipo wapi amani kwa mwananchi aliyekosa mahali pa kupumzika? upo wapi utulivu kwa mtu aliyekosa tiba? je mwenye kiu ana furaha? la hasha! hivi ni vilio vya wanyonge walio kata tamaa wanasubiri shujaa kutoa sauti ya matumaini angalau kwamaba wataishi kwa masaa mengine yajayo kabla ushindi haujatangazwa.
 
Hi all,hope you are doing great.I'm a new member, hoping to share a lot with you in the coomming days
 
Hello comrades, the WATCHMAN (mzee wa siku). Now he is in the house, please stand up and welcome him
 
Kwanza tunashukuru mungu kwa kutupa uwezo wa kuwa hapa pili ni lazima tuwe na shukran kwa team nzima ya Jamii forum haya ndiyo maendeleo yanavyoanza kuja siku hadi siku.. Haya yanayojadiliwa hapa ni changamoto kwelikweli kwa maisha ya kila siku ya mtanzania... Tuendelee tu tutafika tusijali
 
WaJF, nijitambulisha jamvini. Tuko pamoja na halali mtu
 
Thanks JF you the best................................................NAH doubts bouh that!!!!!!!
 
Forgot 2 say this.............................HALLOOOOOOOOW JF members
 
Ndg zangu,,mi mgeni humu ndani ya JF naomba twende pamoja nisije kupotea.siku njema
 
Naam!

Mimi ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali zinazo jadiliwa hapa jamvini..Kwa kweli nimekuwa na amasika muno na mimi kutoa mchango wangu.

Naamini CHADEMA ni chama pekee chenye uwezo wa Kuleta mapinduzi ya kimaendeleo katika nchi hii.

Kwa taarifa yenu, hawa watu wa CCM,wamejenga system ambayo haiwezi kuruhusu maendeleo ya watu ambao hawako katika system yao.

La msingi ni Chama kujipanga vizuri,kuondoa hao mamluki(ambao wapo wengi tu) wamepenyezwa na CCM baada ya Kuona Chama kina imarika kila kukicha,ili waweze kukidhoofisha.
 
Back
Top Bottom