Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #41
mbona umewashika nyeti zao kwikwikwi ehe ehe,mwaka huu haponi mtu,pamoja na misemo yao ya kelele hazimuzuii mwenye nyumba kulala.
sasa watatoka tu.si unajua nyoka akiingia shimoni wewe weka mafuta ya taa,atatoka bila kelele wala mikwaruzo.sasa kazi kwao
msikuze mambo, mimi nilikuwa natania tu
Hongera sana Mh.Mwanakijiji(Naamini hujali kukuita Mh. Maana viongozi hapa bongo hawastahili heshima hii).Majibu yako pamoja na kunipa mwangaza zaidi kuhusu bodi na wizara hii inaonyesha kiuna ubadhilifu wa hali juu zaidi ya hata tunavyofikiri.Naamini mbali na "double or tripple allocation kuna wanafunzi hewa wengi sana.
nashukuru sana Nyangumi. Na ninashukuru kwa kuniita Mhe. lakini ani kama unavyoniona nilivyo na "mche" hapo pembeni mimi sina uheshimiwa wowote na ni mnyanyua mabox kama wabongo wengine wengi tu.
Eeeh kumbe na wewe mwanzangu unapiga box kama kawa...
haya nyie mpeni misifa mwenzenu, kikiungua mumkaribishe kwenu. Mimi simo. Nakushauri punguza kasi na aendelea na safari yako kwa bibi yako.
haya nyie mpeni misifa mwenzenu, kikiungua mumkaribishe kwenu. Mimi simo. Nakushauri punguza kasi na aendelea na safari yako kwa bibi yako.