NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 635
- 547
Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo.
Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata nafasi ya kujiunga na chuo, na kisha mwanafunzi kuingia kwenye akaunti yake na kukuta maelekezo yote yampasayo kufanya. Kwa nini bodi HESLB haitoi majina ya waliofanikiwa kupata mkopo badala yake wanataka kila mwanafunzi aingie kwenye Akaunti yake ajue alichopangiwa?
Kuna ubaya gani wa kuweka orodha hazarani kama vifanyavyo Vyuo?
Hii idadi ya wanufaika tutajuaje kama ni idadi ya kweli inayotajwa?
Kwa mfumo huo hata kama wamepata watu wachache kuliko idadi inayosemwa ni rahisi kuamini.
Ingekuwa wanafunzi wamekusanywa mahali pamoja na ukawaambia kila mtu aangalie kwenye akaunti yake inaleta maana, lakini si hii ambayo kila mwanafunzi akiwa peke yake.