Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,392
- 39,493
Ndio nimemaliza maandalizi ya msafara wa kumuona "Bibi" na hiki ni kiporo cha uchunguzi. Mlioko nyumbani mtasoma kwa kirefu kwenye "KULIKONI". Kwa kifupi kabisa kwenye nakala hii ya uchunguzi wa kina wa jinsi gani bodi inayowakatalia kuwalipia vijana wetu fedha za masomo Ukraine wakati huo huo wakimegeana na kugawiana fedha kama njugu. Majina yote yanayotajwa humu yanaweza kuangaliwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo hapa http://www.heslb.go.tz. Ukiingia kwenye tovuti hiyo search majina hayo utaona mwenyewe!
Tafadhali wapitishie wanakijiji wengine.
Na ukimaliza, hakikisha unatia sahihi petition ya "Msolla must go".
Alamsiki.
Tafadhali wapitishie wanakijiji wengine.
Na ukimaliza, hakikisha unatia sahihi petition ya "Msolla must go".
Alamsiki.