Here comes Rwanda... again | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Here comes Rwanda... again

Discussion in 'International Forum' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 26, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Rwanda unveils first bio-diesel bus(BBC)


  [​IMG] Some say Rwanda is too small to grow enough bio-diesel crops for many buses

  Rwanda's first bio-diesel bus has begun its inaugural trip from the capital Kigali to the town of Akanyuru on the border with Burundi.
  The Rwanda Biodiesel Express runs entirely on oil plants, animal fats and even used cooking oil from restaurants.
  The BBC's Geoffrey Mutagoma, who attended the inauguration, says that it took three years to develop the bus.
  The Rwandan government hopes that bio-diesel will help reduce the country's dependence on fossil fuels.
  "Using 100% bio-diesel reduces carbon monoxide emissions by 48%," says Jean Baptiste Nduwayezu, head of the Institute of Scientific and Technological Research (IRST).
  But researchers estimate that 225,000 hectares of oil plants - such as avocado, moringa and jatropha - would be needed to supply the whole of Rwanda with bio-diesel.
  This represents about 8.5% of the country's total area and has led some to doubt whether Rwanda is big enough to make bio-diesel a viable alternative to fossil fuels.
  But Rwanda's Minister of Forestry and Mines Christopher Bazivamo dismissed such fears.
  "We could plant moringa trees along all the roads. That way there would be no land shortage problem," he told the BBC.


  My Take:
  Congratulations...
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  I heard this on BBC news today when I was driving home. It made me think twice about why do we struggle tomove forward from where we are. Kagame could be a dictator,but history would label him differently when it comes to where he visioned Rwanda to be.Na unaweza kuta kuna watanzania kibao wanaosindikiza hizi mbio za technologia ya Rwanda bila hata sisi wenyewe kushituka. Walianza na computer kwa kila mtoto wa shule. Leo wana mabasi ya bio diesel.
  Sisi tuna gas kibao Mtwara na Mkuranga, lakini hatuna umeme wa kutosha wala hakuna hata gari moja ndani ya mji huu inayotumia gas as fuel.Hizi daladala zingeliweza kabisa kushusha gharama za uendeshaji kama gas ikiliweza kutumika.
  Kweli kwenye miti hakuna wajenzi!
   
 3. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  my bro mkjj,this rwandese can use everything to get peoples attention,but i can congratulate them too for that biogass bus blaah blaah,but do u know whats happening there now??do u know freedom of speech,do u know who get benefit of those busses?do u know who know the satisfaction of rwandese people?now all government just show example of what they did in kigali,did u go even 10 km from kigali and see how people living in deadly poverty?my friend,we have to talk so these people will stop killing each other,the govern owner are the one do devisism between hutu and tutsi.now its another genocide boiling,dnt wonder is just b,coz kagame mention all hutu genocidaire,thats not fair,those all people living on there rwanda and their majority,now everyone,everywhere no matter was in rwanda or not that time,but is hutu is genocider,i hate that kind of politic agenda.
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  babu sie swala la kupiga domo na porojo tuko njema sana,ndo nilisema ingekua inawezekana tukamkodi kagame japo mwaka ingekua poa sana,lakini kagame anafanya sawa kabisa kwa nchi ilkiyokumbwa na masahibu ya mauaji,simkubali tu kwa ajili ya kuwatenga wale jamaa wahutu,na kingine,yes wataalam wa ushauri was sayansi na teknolojia yuko profesa mbongo pale KIST,ndo anafanya mambo na katoka hapo mlimani.sie tuendelee kupiga domo tu.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ndahani,
  Hivi ile gesi ya Mtwara bado ni yetu? Nasikia aligawiwa Mmarekani.
  Tunanunua kutoka kwake, au nilitaarifiwa vibaya?
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu angalia vizuri hata wewe ushauzwa, sio gesi ya mtwara,imefika pahala sisi tutakujapelekwa pahali tukakabidhiwa mtu na tukapandishwa meli na kusafirishwa hivihivi tunajiona,then akaja akauliza mtu hivi tunauzwa eeeh?
   
 7. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Babu hapo KIST c kwamba yupo Prof. m1 tu mbongo, I've heard kuwa wapo kadhaa. Some raised ile plan ya kuwa na kijiji cha sayansi na marehemu Prof. Shayo ndio alikuwa mkuu wa project but never won govt. full support, Kagame kapenda ideas zao kawavuta pande zile anawatumia. "Ukisema wa nini, mwenzako anajiuliza ntampata lini?"
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  how does freedom of speech helped us? tunazungumza weeeee halafu tunapiga makofi! si unaona ya China na hata Vietnam.. maendeleo jamani hayaji kiurahisi rahisi..
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli tuongee uwazi na ukweli Rwanda wapo juu kwa kila kitu na wametuzidi. Tatizo la Rwanda naona hakuna Demokrasia ya ukweli ingawa ndo nchi inayo ongoza kuwa na wabunge wanawake wengi duniani 50% Kagame anastahili pongozi za dhati anajua kung'ata na kudeal na watu wachafu anajua kufanya kazini.
   
 10. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Show me an African country that is so different from Rwanda in the aspects you put forward here. Try going just a few kilometres outside or inside of Dar-es-Salaam and see if the situation is so different.

  Truth be told, these people are moving forward. Investing in the future. A few years from now Rwanda will probably be Africa's China or Malaysia or Singapore... and Tanzania will still be the Bangladesh that it is today
   
 11. S

  Somi JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Rwanda ni nchi ndogo sana, unaweza kubuni mikakati ya maendeleo ukahimiza utekelezaji wake na ukaona matokeo yake kwa muda mfupi,ukubwa wa rwanda ni kama mkoa mmoja wa tanzania.
  Kwahiyo hata kuiongoza ni rahisi kulinganisha na nchi kubwa kama tanzania au kenya.
   
 12. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Somi, kwani Tanzania ikiendeshwa kwa mfumo unaokubalika wa majimbo, hatutafika? Badala ya kuongeza majimbo ya uchaguzi wangeunda majimbo ya kimamlaka. Hivyo maendeleo yangefika sehemu za chini haraka.

  Tusitafute visingizio. Mbona Marekani ni kubwa kuliko hata Tanzania na wako mbali kimaendeleo?
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hiyo technolojia haipo sustainable. Tusidanganyane wajameni. Hakuna possibility ya ku-meet bio-fuels demands bila kuathiri sekta nyingine zinazotegemea rasilimali adhimu na adimu ya ardhi.
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  and how do u explain about America..say Texas.?
   
 15. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Do you work for some kind of NGO? The Rwandese are doing something to get themselves out of the poverty you are talking about. Comparatively we have freedom of speech than them, but what good has it done us? Are we richer than them? All countries we are now calling emerging economic giants (the Asian tigers, etc.) made progress under dictators. I don't think their people are regretting what they now have.
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  hata kama hawana hiyo resource ya Biofuel, Shamba la Bibi lipo watakuja kuchukua tu TZ
   
 17. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  Eti freedom of speech,marekani kwenyewe hakuna hiyo freedom of speech,nchi kama rwanda inabidi waweke chuo kufundisha viongozi wazembe ,wako bize na safari na hawafuatilii watendaji wao kama wanatekeleza maagizo.

  big up rwanda,may its time jk aende kujifuza how kagame anamanage watu wake,
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  The bigger the country the bigger the market.
   
 19. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Habari ndiyo hii. Tafiti zote zinathibitisha duniani technolojia hii haipo sustainable. TZ tulikuwa na gari la biofuels. Pale UDSM miaka ya 90 kulikuwa research na hata engine/gari la bio-fuels (na watafiti walihitimisha kwamba technolojia nii haipo sustainable).

  Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo kabla ... hawa wanatafuta attention tu.
   
 20. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  hii ndio tabu yetu sisi hapo,porojo nyingi sana,na tuko busy sana kujali maslahi binafsi,kila kitu tunaweka kumfuko,wananchi watajaza
   
Loading...