Here comes Rwanda... again

Here comes Rwanda... again

Ndahani,
Hivi ile gesi ya Mtwara bado ni yetu? Nasikia aligawiwa Mmarekani.
Tunanunua kutoka kwake, au nilitaarifiwa vibaya?
Kwenye hii nchi kitu chochote kinawezekana. Kuna watu wanafikiria kupata vijisenti bila kujari athari zake kwa vizazi vyote vijavyo!
 
ohh my....i m amazed by this juvenile ant tutsi/kagame hatred,you need help..seriously!
mkuu mimi simchukii mtu,ukinielewa ni kwamba nachukia ile attitude ya rais wenu atarudisha genocide tena,i swear upon my heart i feel sorry for that tutsi genocide happen 1994,lakini naona pia in future its goin to happen again.koba i myself dnt like killings,wewe unanielewa vibaya tu,im not against kagame,i suport him anyway,its only about what hes doin on ethnic racial,thats what im talkin about,otherwise the president is good.
 
Kipi bora:
Uishi na kuongozwa kidicteta na maendeleo yanaonekana AU uishi na kuongozwa na Rais mpole/mcheshi lakini maendeleo sifuri!!!!!
Ndo maana JKN alikuwa dicteta na maendeleo yalikuwa yanaonekana na nchi ilikuwa na discipline.
NCHI NYINGI ZA AFRIKA ZINAHITAJI MADICTETA ILI ZIENDELEE KWA SABABU VIONGOZI WENGI NI WABINAFSI......period.
CONGRATULATIONS..........Presidaa Paul Kagame.UDUMU!!!!!
i can take this point,hapa nakuunga mkono kabisa mkuu.
 
here i can mention that some are benefited from good progress from the govern,some they dont think so,and they never allowed to talk or mention the difficulties,kwa taarifa yako only tutsi the kigali owner ndio wako more positive for what done in kigali now.toka nje kidogo ya kigali ambako ndio majority ya hutu lives iko uone mambo.

...hate is all you have,choke on it!
 
Anything that touches human food is not good to substitute the oil. the hydracarbons oil is always cheaper than the food oil. Any technology should not have any competing activities with human food production activities. otherwise, we are even creating a very serious unsustainable future!!! Lets see how can feed Africa and the world first will we go on using the available hydrocarbons or change other residues to fuels. Lets use on using abundant energy such as light, etc. It is a step made by Rwanda but I don't think it is sustainable either. Tanzania has made a step also in operating by CNG. We have some units on the road operating on CNG.
 
Habari ndiyo hii. Tafiti zote zinathibitisha duniani technolojia hii haipo sustainable. TZ tulikuwa na gari la biofuels. Pale UDSM miaka ya 90 kulikuwa research na hata engine/gari la bio-fuels (na watafiti walihitimisha kwamba technolojia nii haipo sustainable).

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo kabla ... hawa wanatafuta attention tu.

Ni kweli..kaa hii technology ingekuwa sustainable US wasingalipeleka majeshi Iraki kule kwenye mafuta ya fossils.

Hawa wanyarwanda wanacheza hawa.
 
Aisee, Sioni cha kuwasifia Rwanda. Nimeishi Ngara zaidi ya miaka 10 na nimekuwa naenda Rwanda mara kwa mara. Tanzania ina maono mazuri na niwe mchangiaji wa vitendo kuwa tuna mashamba mengi ya kuzalisha bio- fuel kwa sasa. Anza na Arusha, Dodoma, Pwani n.k (Tunazo mamilioni ya heka). Mashamba mengi hayajaanza kuzalisha hayo mafuta sasa tunataka tuwe na magari ya Bio-fuel... is it? Huko Rwanda wamezindua hilo gari lakini hawana hata heka elfu moja za shamba la kuzalisha bio- fuel ndo wanapanga namna ya kuanzisha mashamba (wanafikiria kupanda miti pembeni mwa barabara - Aliyeenda Rwanda anajua ufinyu wa barabara za Rwanda alafu upande miti tena???? - kazi kwao na mipango yao).

Kupanga ni kuchagua.. (Tanzania tumeanza na kilimo cha jatropha n.k ili tuzalishe mafuta ndo tuanze kuzindua magari wakati Rwanda wameanza na uzinduzi wa magari ndo waanze kulima hizo bio- fuel plants). Kati yetu nani ana mipango mizuri???
Tusisifie tu kila kitu!!!!
 
Back
Top Bottom