Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Wee ulikuwa SHAHIDI wakati Dr. Slaa anaMJUA Matata?
Haya mambo ya Adam akamjua Mkewe Eva...... Eti hata Dr. Slaa anamjua, ina maana wanaMJUA watu wengi siyo?
Mkuu Sikonge hujanielewa,nimeiambatanisha post yangu na ile ya Ritz kwa makusudi,kama ulifatilia vizuri Ritz jana alikuwa anamsifia Matata kuwa ni mtata na mbabe mno hivyo viongozi wa CDM wanamgwaya na Dr Slaa anamwoga mno huyu Matata.ndo maana amewatimua madiwani wa CDM,Hayo ni maneno ya Ritz Mkuu,nami nilikuwa namzodoa Ritz anieleze huo utata wa Matata umeshindwaje kumuepusha na aibu hii?