huyu mwanzisha uzi anapaswa kuweka source, isijekuwa kama ule uongo wa Mike Tyson kuwa mwanamke halafu wote tukaonekana hatuna akili humu!
Hii ni habari njema kabisa kuwahi kuisikia kwa leo. Eee Mungu Muumba wa mbingu na Dunia naomba iwe ni kweli.
Nafikiri pamoja na M4C inatakiwa kuanzishwa operation safisha chama kuondoa waasi wazembe na mapandikizi yote ili tukiingia ulingoni 2015 chama kiwe safi bila mapandikizi wazembe n.k
Hakuwepo kwenye Press confrence leo?
Mapandikizi yanaibuliwa moja baada ya jingine hadi 2015 chama kita remain pure!!M4C forever!