Ha ha haa!! Kwa hiyo Matata angeshinda JK angepelekwa The hague.
ndio kwa nini jipya mkuu?
Ha ha haa!! Kwa hiyo Matata angeshinda JK angepelekwa The hague.
Vipi kuhusu gharama za kesi? Aturudishie basi gharama zetu.
ndio kwa nini jipya mkuu?
Pongezi kwa mahakama kwa kutenda haki...utawala wa rais Kikwete siku zote auingilii maamuzi ya mahakama.
Tatizo kubwa la wafuasi wa Chadema pamoja na viongozi wao wanakuwa wanafiki pale mahakama inapotoa hukumu ambazo zinawachukiza na kukimbilia kusema kuna mkono wa rais.
Kama rais angekuwa anaingilia uhuru wa mahakama Chadema wasingeshinda kesi hata moja.
Kwa kweli rais Kikwete ni mtu makini katika kuteua majaji makini.
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwnza na diwani wa kata ya Kitangili ameshindwa kesi Mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CDM Prof.Abdalah Safari.
My Take.
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.
Du kudadeki mbona raha...
Sipati Picha Wilson Kabwe na njama zake za kupora soko la Mwaloni Kirumba zitaishia wapi Dani Kahungu akikamata umeya......
Upande wa pili sipati picha Matata atalipaje hela alizohongwa na Musukuma ili kulazimisha jengo la Musukuma pale Buswelu lipangishwe na manispaa kuwa makao makuu ya manispaa, sijui atarudisha kudadeki au ameishatumia???
Haki ni haki hata idhulumiwe vipi huwa inarudi tu...
Henry Matata ni mtata kweli kweli,muulize hata Dr Slaa anamjua!