Naona imani kali ya kilokole hapa.
Shetani lazima aitwe kwa jina lake Shetani.
Naona imani kali ya kilokole hapa.
Bora, maana kila nilivyo kuwa nasikia habari zake tangu avuliwe uanachama ma CDM. nilikua nahisi kichefchefu na nilikuwa natamani yaliyomkuta leo yatimie haraka, ukombozi bado unaendelea.
atakata rufaa na kesi itaendeshwa mpka 2014
ahsante sana kakaWakuu.
Ukweli ni kwamba Matata hajashindwa kesi.
Kwa taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba Matata alifungua kesi mbili kwa mpigo. Moja mahakama ya kuu mkoa Mwanza na nyingine mahakama kuu kanda ya ziwa. Inasemekana yeye amefuta kesi iliyo mahakama ya mkoa ambayo alifungua peke yake wakati ya mahakama kuu kanda ya ziwa kaifungua yeye na Chagulani, hii hawajaifuta na ndio itazidi kumpa uhalali wa kuendelea kuwa Meya.
Mtakumbuka kuwa Matata akiwa amevuliwa uanachama alifungua kesi kupinga kuvuliwa
uanachama, kesi No. 53/2012 akipinga kuvuliwa uanachama kesi hii ipo mahakama kuu kanda ya ziwa.
Kwa maana hiyo Matata bado ni diwani wa kuchonga na meya wa kuchonga aliye vuliwa uwanachama na chadema lakini aliye mmadarakani kwa nguvu ya kivuli cha ccm.
Matata huyuhuyu amesha wafukuza udini madiwani 3 wa chadema kwa kutokuhudhuria vikao vitatu. Hapa kuna danadana zitachezwa ili matata aendelee na umeya wake hadi 2015.
Niko tayari kurekebishwa kama kuna mahali hapaja eleweka.
ahsante sana kaka