Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Good nyuz, Tunaendelea kung'oa magugu yanayopandikizwa na ccm na bado vimejipenyeza hadi BAVICHA am sure vitang'oka tu!
 
The likes of Matata, Arusha councillors etc are just being (mis)used to be discarded thereafter. They must know that it is not wise to swim against the tide.

More importantly, no one can stop the inevitable...
 
The likes of Matata, Magafu of Bavicha, just like those Arusha ex-councillors etc are just being (mis)used to be discarded thereafter. They must know that it is not wise to swim against the tide.

More importantly, no one can stop the inevitable...
 
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA!!!!

kwaheri Matata, hiyo dhambi ya usaliti itakuandama daima, hakika umepambana kuvuruga ukombozi kwa watz bt thanx God kwa yanayokukuta
 
Mkuu Sikonge hujanielewa,nimeiambatanisha post yangu na ile ya Ritz kwa makusudi,kama ulifatilia vizuri Ritz jana alikuwa anamsifia Matata kuwa ni mtata na mbabe mno hivyo viongozi wa CDM wanamgwaya na Dr Slaa anamwoga mno huyu Matata.ndo maana amewatimua madiwani wa CDM,Hayo ni maneno ya Ritz Mkuu,nami nilikuwa namzodoa Ritz anieleze huo utata wa Matata umeshindwaje kumuepusha na aibu hii?

Wewe mtoto wa kiume usiwe na mambo ya kike, ebu weka hilo bandiko langu unalosema nimesema Matata ni mbabe, ukiweka najitoa JF.

Kwa taarifa yako Matata namjua toka anapiga disco Nyamanoro ni mtu wa kawaida sana tena ana ujinga mwingi kama wewe.
 
yataka moyo kukubali kuitumikia CCM, ona sasa Matata kajiweka matatani
 
CCM iko kwenye kilele kirefu cha mnara unaoporomoka, kushuka wanaogopa kwa hiyo wameamua kubakia kileleni ili waporomoke pamoja na mnara.
Watu wanaowaza madaraka tu kama Matata na wengineo wanadhani wanaweza kunusuru mnara usiporomoke ili wafaidi madara. Hatimaye mnara utawaporomokea na kuwasaga tikitiki.
 
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwnza na diwani wa kata ya Kitangili ameshindwa kesi Mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CDM Prof.Abdalah Safari.

My Take.
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.

Hapa CDM inatakiwa iendeleze mtindo wa kuwadispline watu wenye mwelekeo kinyume na chama. Ndio njia pekee ya Kukimaarisha chama na kukipa mwelekeo. Dr. Slaa na timu yako muendelee na kanuni na misingi ya chama kama kawa.
 
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwnza na diwani wa kata ya Kitangili ameshindwa kesi Mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CDM Prof.Abdalah Safari.

My Take.
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.

Ndo matokeo ya undumila kuwili
 
Peoples.........................................................Power......................................................................................................................................................................!
 
MUNGU NI MWEMA.ukitenda wema utalipwa wema,ukitenda ubaya malipo yake ni hapahapa duniani.VIVA CDM.
 
Back
Top Bottom