Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,595
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwanza na diwani wa kata ya Kitangiri ameshindwa kesi Mahakamani aliyokuwa kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kesi hiyo ilikuwa chini ya wakili wa CHADEMA Prof. Abdalah Safari.

My Take:
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyadhifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.
 
Viva CHADEMA. Ukombozi uko karibu. Aanze kwenda CCM akiona tabu aende kwa mtoto wake ADC
 
Kwa dhambi aliyoifanya hata shetani ndio maana kamtosa,sasa anateketea,walaumu magamba walokuingiza choo cha kike bwana matata....matata yoote kwisha habari yake!!!Dhuluma mbaya sana.
 
Daa jamani hii habari ya kweli? Basi kama ya kweli aimidiwe Mumba kwa kuliondoa hili joka na likashindiwa mbali
 
bado akili hazijawajia tu kuwa CCM si watu? Wanakuingiza chooni unajikuta si choo chako. Sasa waandae sherehe za kumpokea mwanachama mpya aliyehamia toka upinzani!
 
Move za CCM huwa zinagonga mwamba kila kona - sijajua hatma ya wale madiwani 5 wa arusha kama ccm itawalipia faini.
 
Dadeki!
CHADEMA ni chama makini, ukufukuzwa inakuwa ni kwa mujibu wa sheria!

Hawa Vimelea wa BAVICHA wajiangalie mara mbilimbili, huu ndiyi mwisho wao....aibu tu....!!
Au la wahakikishe wanapewa mpunga wa maana!
 
Professor Safari bingwa wa kesi magamba wivu umewajaa. Kama wanataka wamchukue Sultani Lipumba awasaidie kwenye Uchumi wa kugombe urais kila mara
 
Aandae maandamano basi ya kung,oa Dr.slaa kama kesi ameshindwa au anasibir tamko la nape
 
Prof Abdallah Safari wewe ni jembe la ukweli la CHADEMA!
 
viva CHADEMA. Ukombozi uko karibu. Aanze kwenda CCM akiona tabu aende kwa mtoto wake ADC
Na akatangaze CHADEMA walikuwa wanamtaka kimapenzi kama yule mama na alie na machozi kabisaaaa
 
News of the day God is Great. (Habari njema ya siku ya leo Mungu mkubwa)
 
source please!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CHADEMA Prof.Abdalah Safari.

Loudly and clear mkuu, namwaminia sana Prof Abdalah, wenyekusema na waseme majungu sisi hayatutishi bali ukweli ndiyo jadi ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom