Headless Person
JF-Expert Member
- Nov 30, 2012
- 307
- 58
Ritz, Zomba, betlehem, etc hawatatia mguu kwenye huu uzi!
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwnza na diwani wa kata ya Kitangili ameshindwa kesi Mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CDM Prof.Abdalah Safari.
My Take.
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.
Pongezi kwa mahakama kwa kutenda haki...utawala wa rais Kikwete siku zote auingilii maamuzi ya mahakama.
Tatizo kubwa la wafuasi wa Chadema pamoja na viongozi wao wanakuwa wanafiki pale mahakama inapotoa hukumu ambazo zinawachukiza na kukimbilia kusema kuna mkono wa rais.
Kama rais angekuwa anaingilia uhuru wa mahakama Chadema wasingeshinda kesi hata moja.
Kwa kweli rais Kikwete ni mtu makini katika kuteua majaji makini.

Hii habari iwe ya kweli au ya uongo,mimi imeniondolea stree zote za leo..Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwnza na diwani wa kata ya Kitangili ameshindwa kesi Mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa CDM Prof.Abdalah Safari.
My Take.
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.
Pongezi kwa mahakama kwa kutenda haki...utawala wa rais Kikwete siku zote auingilii maamuzi ya mahakama.
Tatizo kubwa la wafuasi wa Chadema pamoja na viongozi wao wanakuwa wanafiki pale mahakama inapotoa hukumu ambazo zinawachukiza na kukimbilia kusema kuna mkono wa rais.
Kama rais angekuwa anaingilia uhuru wa mahakama Chadema wasingeshinda kesi hata moja.
Kwa kweli rais Kikwete ni mtu makini katika kuteua majaji makini.
Pongezi kwa mahakama kwa kutenda haki...utawala wa rais Kikwete siku zote auingilii maamuzi ya mahakama.
Tatizo kubwa la wafuasi wa Chadema pamoja na viongozi wao wanakuwa wanafiki pale mahakama inapotoa hukumu ambazo zinawachukiza na kukimbilia kusema kuna mkono wa rais.
Kama rais angekuwa anaingilia uhuru wa mahakama Chadema wasingeshinda kesi hata moja.
Kwa kweli rais Kikwete ni mtu makini katika kuteua majaji makini.
Pro-Chadema JF leo JK ajaingilia uhuru wa mahakama?
aliyekua meya wa manispaa ya ilemela katika jiji la mwnza na diwani wa kata ya kitangili ameshindwa kesi mahakamani aliyokua kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na chama cha demokrasia na maendeleo (chadema). Kesi hiyo ilikua chini ya wakili wa cdm prof.abdalah safari.
My take.
Matata automatically si diwani tena na kwa uamzi huo nyazifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama meya wa manispaa ya ilemela na makamu mwenyekiti wa alat mwanza.
chezea the hague wewe!!kwani hiari yake,the world is watching,..