Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Henry Matata ashindwa kesi ya kuvuliwa uanachama CHADEMA

Kamanda Tumaini Makene tafadhali njoo utupe habari za ukweli na uhakika..Taarifa zinajichanganya na tunashindwa tuamini lipi.
 
mnadanganyana hapa ..matata atazidi kuwa diwani na meya wa ilemela kama kawaida,yeye kwa matakwa yake amefuta kesi aliyifungua ya kupinga kufukuzwa uanachama,kesi hiyo alifungua yeye pekee yake.
Kesi aliyofungua na adam chagulani inazidi kumpa udiwani na umeya kwa maana hiyo yeye bado ni diwani na meya wa ielemela kama kawaida.
Note:matata alifungua kesi mbili,moja ya yeye binafsi(ameifuta leo) na ya pili yeye na diwawni mwenzake adam chagulani(mwenyekiti mipango miji jiji la mwanza kwa sasa) hii keesi ya pili inampa uhai wa kuendelea kuwa diwani wa chadema na meya wa ilemela
​
 
Daima kweli humuweka mtu huru. Ni kwa yule Bavicha mwanza yeye aseme alikuwa virus wa matata
 
mnadanganyana hapa ..matata atazidi kuwa diwani na meya wa ilemela kama kawaida,yeye kwa matakwa yake amefuta kesi aliyifungua ya kupinga kufukuzwa uanachama,kesi hiyo alifungua yeye pekee yake.
Kesi aliyofungua na adam chagulani inazidi kumpa udiwani na umeya kwa maana hiyo yeye bado ni diwani na meya wa ielemela kama kawaida.
Note:matata alifungua kesi mbili,moja ya yeye binafsi(ameifuta leo) na ya pili yeye na diwawni mwenzake adam chagulani(mwenyekiti mipango miji jiji la mwanza kwa sasa) hii keesi ya pili inampa uhai wa kuendelea kuwa diwani wa chadema na meya wa ilemela

​
Inaonekana una mahaba sana na Matata eti eheee!! ila sishangai Location Mombasa.
 
mnadanganyana hapa ..matata atazidi kuwa diwani na meya wa ilemela kama kawaida,yeye kwa matakwa yake amefuta kesi aliyifungua ya kupinga kufukuzwa uanachama,kesi hiyo alifungua yeye pekee yake.
Kesi aliyofungua na adam chagulani inazidi kumpa udiwani na umeya kwa maana hiyo yeye bado ni diwani na meya wa ielemela kama kawaida.
Note:matata alifungua kesi mbili,moja ya yeye binafsi(ameifuta leo) na ya pili yeye na diwawni mwenzake adam chagulani(mwenyekiti mipango miji jiji la mwanza kwa sasa) hii keesi ya pili inampa uhai wa kuendelea kuwa diwani wa chadema na meya wa ilemela
​
Unayosema ni kweli kabisa ila unaonyesha ndiyo furaha yako.Hamtafanikiwa maana Mwanza washajua Chagulani na Matata wanamtumikia nani.Endeleeni wewe Tuntemeke na wenzio kuwa agents Wa giza but majuto mjukuu.Nadhani katika ile payroll ya Nape wewe ni well paid more than others. Niishie hapo sitaki ban
 
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwanza na diwani wa kata ya Kitangiri ameshindwa kesi Mahakamani aliyokuwa kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kesi hiyo ilikuwa chini ya wakili wa CHADEMA Prof. Abdalah Safari.

My Take:
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyadhifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza.

Wewe jamaa muongo sana endelea kuwadanganya Chadema wenzako...eti my take Matata si diwani tena, ha ha haa haaa. Ningekuwa mod ningekupiga life ban.
 
Mods hii habari ni ya uongo inachafua JF tu inaonekana sehemu ya udaku.
 
PROFESA ABDALLAH SAFARI NI DINI GANI??

KWA MAANA HAWAKAWII KUJA NA UZANDIKIN WAO WA TOPE LA KIDINI

YANI KILA KONA BEKI ZIMEKABANA,TUNAWAPA ONE TWO,ONE TWO,,STYLE YA SAMBA KAMA BARCA ILE YA PEP" GUARDIOLA

:madgrin: :madgrin:
 
Wewe jamaa muongo sana endelea kuwadanganya Chadema wenzako...eti my take Matata si diwani tena, ha ha haa haaa. Ningekuwa mod ningekupiga life ban.

MPE TUH LIFE BAN,,
SI NASKIA TUNTEMEKE PIA UMEMPA WEWE LIFE BAN??

LIONE...:loco:
 
Aliyekua Meya wa Manispaa ya Ilemela katika jiji la Mwanza na diwani wa kata ya Kitangiri ameshindwa kesi Mahakamani aliyokuwa kafungua kupinga kuvuliwa uanachama na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kesi hiyo ilikuwa chini ya wakili wa CHADEMA Prof. Abdalah Safari.

My Take:
Matata automatically si Diwani tena na kwa uamzi huo nyadhifa zote alizokuwa nazo amezivua rasmi kama Meya wa Manispaa ya Ilemela na Makamu Mwenyekiti wa ALAT Mwanza........

HEKO!
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=5221458
 
Wakuu.
Ukweli ni kwamba Matata hajashindwa kesi.
Kwa taarifa za uhakika kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba Matata alifungua kesi mbili kwa mpigo. Moja mahakama ya kuu mkoa Mwanza na nyingine mahakama kuu kanda ya ziwa. Inasemekana yeye amefuta kesi iliyo mahakama ya mkoa ambayo alifungua peke yake wakati ya mahakama kuu kanda ya ziwa kaifungua yeye na Chagulani, hii hawajaifuta na ndio itazidi kumpa uhalali wa kuendelea kuwa Meya.

Mtakumbuka kuwa Matata akiwa amevuliwa uanachama alifungua kesi kupinga kuvuliwa
uanachama, kesi No. 53/2012 akipinga kuvuliwa uanachama kesi hii ipo mahakama kuu kanda ya ziwa.

Kwa maana hiyo Matata bado ni diwani wa kuchonga na meya wa kuchonga aliye vuliwa uwanachama na chadema lakini aliye mmadarakani kwa nguvu ya kivuli cha ccm.

Matata huyuhuyu amesha wafukuza udini madiwani 3 wa chadema kwa kutokuhudhuria vikao vitatu. Hapa kuna danadana zitachezwa ili matata aendelee na umeya wake hadi 2015.

Niko tayari kurekebishwa kama kuna mahali hapaja eleweka.

Asante sana Ndugu Mtoi kwa taarifa nzuri ya kueleweka japo mimi inaniuma roho kuwa huyu jamaa bado ataendelea kuwa meya. Huyu si meya wa kuchonga tu bali ni meya wa viti maalum CCM kupitia CHADEMA.
 
Hizi ni habari njema, nikirudi mwanza nitasherehekea, natangaza nia kugombea hii kata
 
Huyu Professor Peter Safari ni moto wa kuotea mbali. Ndiye aliyesaidia hata kule Igunga.
CDM Mnamjali au ndio hivyo tena kama alivyofanywa kule CUF hadi akapoteza kazi yake serikalini. Huwa namhurumia sana.
 
Ni sawa sheria lazma ichukue nafasi yake.na pia ni bora kuwa na wapiganaji wachache kuwa weng mabua
 
Back
Top Bottom