Nani kasema?liyumba kala miaka miwili.
Mtoto wa ndama katoa mil 5.
MPE MIMBA MWANAFUNZI SASA.
Uongo uko wapi kiongozi?Acha uongo we jamaa
Mkuu nani anye kwenye ndoo? Wee unacheza na pesa eeh, ile geresha tu usikute analala kwake kama kawa, au hukumsikia kamishna wa madawa ya kulevya kuhusu vigogo wa madawa walioko magerezan? Mkuu kwenye ndoo ntakunya mimi sio wenye pesa kama rugeAisee tunapenda updates zao za sasa, mzee masikin saivi anatumia ndoo badala ya choo cha kuflash! Nahisi hata hawa wataanza kula tembere baada ya miaka 2 maan account zinaweza minywa barafu zikafreeze
Mtoto wa ndama(ndama mtoto wa ng'ombe)Uongo uko wapi kiongozi?
Kafanyaje sasa.kafungwa?Mtoto wa ndama(ndama mtoto wa ng'ombe)
Hajalipa mil 5 mkuu
Kafanyaje sasa.kafungwa?
Kiongozi.saa 4 hii.umepata dinner?Kalipa mil 5???
Ujue hata kama tunaponda tuponde kwa kusema ukweli
ina maana hana mtoto mwingine au ndio hana uwezo wa kupata mtoto mwingineHuyo Eve collection huwa anafanya kumbu kumbu ya kifo cha mwanae kama sherehe kwa jinsi anavyopamba...watu wana hela jamani
Kiongozi.saa 4 hii.umepata dinner?
Njaa ya usiku mbaya.unaweza ukapiga yowe chumbani.
Kuna vyoo kule namaji yapo ..usipende kukariri habari zandoo hakuna tena .Aisee tunapenda updates zao za sasa, mzee masikin saivi anatumia ndoo badala ya choo cha kuflash! Nahisi hata hawa wataanza kula tembere baada ya miaka 2 maan account zinaweza minywa barafu zikafreeze
Malizia kwanza.bia zako.tutajadiliana kesho.Unakwepa kujibu mada.
Usiniulize kuhusu dinner yangu kama wewe haunilishi. Au unataka kuja kunipikia umpokee majukumu mkewangu??
Jifunze kusema ukweli ndugu
We unafikiri jamaa hajipigii kwa Nafasi yake anajipigia sana.Magufail akiisoma comment yako anaweza kuihamishia hazi ya nchi nyumbani kwake chato!!
Comment zingine muwe mnajifikiria kwanza kabla ya kupost.
Acha uongo wew,..we unamjua rugemalila wew,..?huyo mzee anapesa kitambo,..huyo ndo mswahili wa kwanza kuleta heineken bongo enz hzoo,..ana viwanda huyo kitamboSio kihivyo, miaka ya 2010 au 11 walikuwa kawaida sana kama mie na wewe, ghafla mambo kama haya..Escrow mkuu sio mchezo!