NoPesa sabuni ya roho, lazima umependeze tu
Weeee acha tu.... naona aibu utanichekaHebu niwekee picha ya hyo nguo ya 2.6 m nisafishe macho
Watoto wengi wanaopata pesa kwa dezodezo sometimes huwa wanaishia kuwa ma zezeta tuu yaaani.Jessica rugemalila na Jerome mushumbusi rugemalila. walipata 808,000,000 kwenye kaji mgao ka escrow
Aisee! Nimecheka sana hii comment...Hivi Ruge huyu ndie aliemuingiza mkenge Saida Karoli mara ya kwanza?.
View attachment 532124 View attachment 532125 View attachment 532126 View attachment 532112 View attachment 532113 View attachment 532114 View attachment 532115 View attachment 532118 View attachment 532119 View attachment 532120 View attachment 532121 View attachment 532122 View attachment 532123 View attachment 532118 View attachment 532119 View attachment 532120 View attachment 532121 View attachment 532122 View attachment 532123 View attachment 532112 View attachment 532113 View attachment 532114 View attachment 532115 Familia ya JR
Kumbe?Kuna vyoo kule namaji yapo ..usipende kukariri habari zandoo hakuna tena .
View attachment 532124 View attachment 532125 View attachment 532126 View attachment 532112 View attachment 532113 View attachment 532114 View attachment 532115 View attachment 532118 View attachment 532119 View attachment 532120 View attachment 532121 View attachment 532122 View attachment 532123 View attachment 532118 View attachment 532119 View attachment 532120 View attachment 532121 View attachment 532122 View attachment 532123 View attachment 532112 View attachment 532113 View attachment 532114 View attachment 532115 Familia ya JR
duh watu ni wafukunyukusijui ila ni fighter sana anashona nguo balaa .hyo alovaa kashona mwenyewe.
Mama Obama naona imekuuma! pole sana, ila yanalipwa na yatalipwa hapa hapa TZ..He has bought even the church leaders using our own cash. Money is evil especially when it stolen from the majority poor.ANEWANUNUWA HATA WACHUNGAJI WA KANISA NA PESA ZETU. PESA NI SHETANI HASWA KAMA ZIMEIBIWA KUTOKA KWA MASIKINI WENGI,
Mama Obama naona imekuuma! pole sana, ila yanalipwa na yatalipwa hapa hapa TZ..
Cha kushangaza JR anaona sawa tu, na ndio maana kajifanya na kuendelea kuivaa rozari kama vile yeye mtakatifu! Na kwamba sisi hatujuwi tunachoongea, kinacholiza wananchi zaidi ni zile 1.6b za Tiba na Chenge, hawa ni wabunge majimboni, sielewi na siamini wanawatetea wanajimbo kivipi huku wakipokea rushwa kubwa kama hizo! Halafu wanadiriki kabisa kuomba miundo mbinu na maendeleo bungeni huku akaunti zao zimetuna kwa mabilioni na hata kuziita za mboga ua vijisenti! Some guts eehh?! Mafiriauni kabisa...Imeniuma sana, hali za watu wengi Tanzania zinasikitisha sana. 50 millions Tanzania ni masikini wa kutupwa, Watanzania 10 billionaires, ndiyo wameushika uchumi wetu. Sio kwa kufanya kazi kwa ngumu, ni either kwa ujanja uliozidi Viongozi wetu ama kwa kushirikiana na Viongozi wetu kutuibia. Umeme ghali ukiwatesa Watanzania wengi. Ghali kushinda mahali popote. Kwa hiyo ni shida za Watanzania wengi ndiyo zimeunda maisha ya Hollywood ya familia chache. UCHUNGU zaidi tulikuwa na kiongozi ambaye angeweza kuzuwia dhuluma kama hizi zisifanyike. Alishindwaje kuchukuwa hatuwa anazozichukuwa Raus Magufuli kwa sasa? Ndiyo maana Watanzania wengi wengependa awaelezee alishindwaje?