Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,724
😵🙄😳😱😛😎😕😡🙁😉🙂 mmmhhhxxxyuu vdysaxbmxb amxvkua...
ndio ni binti yake![]()
maskini hako kajukuu ka ruge kalifariki gjafla nasikia kaburi lake huko makongo kila siku yanawekwa maua mapyaaa ya rozi kuna oda ya elf 50 daily![]()
kumbukumbu ya kifo cha huyo mtoto mwaka huu partyUnasemaje???? Daaaahhh kweli hio kufuru
Halafu nasikia mapicha yao yote ya bata wameyatoa hawa watoto
Miaka ile skendo inaanza niliona picha moja jamaa anakula duck na rihana sijui
sijui ila ni fighter sana anashona nguo balaa .hyo alovaa kashona mwenyewe.Mmmh shida tupu huyo mtoto wa kihaya! ameolewa huyu dada au single ready to mingle... umefanana nae hatariiiiii....
Na ndio uzuri wa mwanadamu, yakibana hapo anaji tune kwenda na hali halisi, ila kwa kweli bata wamelila...Maisha ni vita wacha tupambane
sijui ila ni fighter sana anashona nguo balaa .hyo alovaa kashona mwenyewe.
Kweli Mkuu na maisha hayajawahi kuwa na hayatakuwa sawa wazee wa msoto lazima wawepo na wala bata mpaka kifo lazima wawepo! Sema sisi waafrika wengi wetu mpaka tuwaibie na kuwakandamiza wenzetu ndo tutoke, Real hardworkers ni wachache!Maisha ni vita wacha tupambane
Ni kweli... nguo moja ya kitchen party anashona kwa 2.6 mil ... kiukweli ana haki ya kula bata... si kwa kutupiga hukosijui ila ni fighter sana anashona nguo balaa .hyo alovaa kashona mwenyewe.
nguo zake anashona ghali vibaya ila nasikia baba yake alimpa m 800 kwenye mgao wa escrow.Ni kweli... nguo moja ya kitchen party anashona kwa 2.6 mil ... kiukweli ana haki ya kula bata... si kwa kutupiga huko
just imagine baba yako ,tema mzee labda mgonjwa apelekwe segerea .mi ningekufa pressure.hivi wanakaa mahali na kula kweli.inamuma sana .maisha yana mitihani hata uwe nani hujui mtihani wako utakuja vipi.i feel very sory for ruges family.dah maisha hayana kanuni asee leo wanaanza kupitia misukosuko
Waaaaacha... mil 800 hv hv??? Aisee wana mijipesa hawa ila nahisi wataishia kuzirudisha kwa njia ya kujitetea.. saa hizi ni usawa wa kutingishwa kama mti pesa zote nimwagika ndo pona yakonguo zake anashona ghali vibaya ila nasikia baba yake alimpa m 800 kwenye mgao wa escrow.
Mungu aepushe mbali.just imagine baba yako ,tema mzee labda mgonjwa apelekwe segerea .mi ningekufa pressure.hivi wanakaa mahali na kula kweli.inamuma sana .maisha yana mitihani hata uwe nani hujui mtihani wako utakuja vipi.i feel very sory for ruges family.
nguo zake anashona ghali vibaya ila nasikia baba yake alimpa m 800 kwenye mgao wa escrow.
just imagine baba yako ,tema mzee labda mgonjwa apelekwe segerea .mi ningekufa pressure.hivi wanakaa mahali na kula kweli.inamuma sana .maisha yana mitihani hata uwe nani hujui mtihani wako utakuja vipi.i feel very sory for ruges family.
Waaaaacha... mil 800 hv hv??? Aisee wana mijipesa hawa ila nahisi wataishia kuzirudisha kwa njia ya kujitetea.. saa hizi ni usawa wa kutingishwa kama mti pesa zote nimwagika ndo pona yako
yaani viatu vya hii familia havivaliki mkuu.pesa sio kila kitu yaaniMungu aepushe mbali.