majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 463
- 649
Hahaha... Mkuu pambana na hali yako.
Ndio tatizo la pesa haramu aise, yaani malipo yake hapa hapa duniani!Muda wa kuilipa sasa
Na ndio maana wengine wanataka na kuomba hiivi hata kwa miaka michache tu aise..Why not..Aiseeeee.Ebana Kuna "WANAO ISHI na WANAO WASINDIKIZA WANAO ISHI"
ndio ni binti yakeHuyo mdada aliepiga nyekundu ni mwanae...??? mikato yangu hiyooo... hatari sanaaaaa!!!