Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

We unafikiri jamaa hajipigii kwa Nafasi yake anajipigia sana.
We jiulize wakati wewe unagombania daladala yeye anapanda usafiri gani?
Wakati wewe unaangaika pa kulala yeye analala wapi?
Wakati wewe unaangaika kupata msosi yeye anakula chakula gani?

Maisha hayako sawa mkuu kila mtu apambane na hali yake.
Astagafyululahi
 
hi sio sawa kwasababu wewe huna unathalilisha wenzio. Halafu utakuta ni mtu wa karibu sana na familia hiyo.
 
he is smart, he will never pay that money !! sema atahaibishwa aibishwa hivyo ila at the end of the day mtakja kuona!!!

Kama una hope izo hela kuridi stay tune!! ataenda jela kesi kila siku kalenda hata one year hiv, ila kuna usiku atatoka atapewa aoutside kifungo wakati pesa na biashra zake zina move on!!!

Kwani mraba leo nimasikini??? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] alwys kunawakutolewaga kafara tu!!!
 
Acha uongo wew,..we unamjua rugemalila wew,..?huyo mzee anapesa kitambo,..huyo ndo mswahili wa kwanza kuleta heineken bongo enz hzoo,..ana viwanda huyo kitambo
Poa na ndio maana kagawa za kutosha naona hata wewe ulikuwepo!
 
Ruge atatoka hana kesi.
Yeye kauza share zake kwa singa kapata mgao....
 
Ruge atatoka hana kesi.
Yeye kauza share zake kwa singa kapata mgao....
Hasa Ruge ndiye alikuwa anawaambia wtz tunapigwe kwenye Escrow lkn jk akadai pesa ni ya mwekezaji, ana kosa gani?
Ninaamini ataachiwa
 
nakumbuka wimbo wa buffalo soldier wa bob marley yaani lijitu linafanya plundering kwenye nchi yake mwenyewe.
 
Ruge atatoka hana kesi.
Yeye kauza share zake kwa singa kapata mgao....
Share za kampuni fake, kosa lake ni kuwa na shares za kampuni fake iliyotumika kujichotea hayo mahela ya wewe ulipaye LUKU kila wakati!
 
Share za kampuni fake, kosa lake ni kuwa na shares za kampuni fake iliyotumika kujichotea hayo mahela ya wewe ulipaye LUKU kila wakati!
Iptl sio fake...
ipo kihalali tatizo walafi serikalini...ambao wamezoea 10%
hivo haiwezi kuwa feki kama hujamkamata nani alisaini huo mkataba mwanzo kabisa miaka ya 90...
na huyo tumeambiwa tusimtaje tumwache apumzike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom