Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

kumbukumbu ya kifo cha huyo mtoto mwaka huu party
18160347_198027584040136_1885873530688503808_n-jpg.532133

Aseeee kama harusi vile. Kweli tunasindikiza maisha.

Mi niko najivuta vuta hapa hela ya tiles nikajengee kaburi december nadunduliza wao wanafanya party???

Halafu hio marble hapo nyok#
 
Ndio sio unasikia aliwapa yeye na kaka yake pia m800 kila mmoja. Tulijadili sana humu. Na document za ile kamati ya Zitto zipo.

Ndo nilipowajulia hawa jamaa.

Wako wawili tu kwao?
hata sijui wapo wangapi mkuu. nasikia ndo wenye mabibo wino wasambazaji wa bia zote zitokazo nje. huyu dada nae nguo zake hakuna ya milioni anashona balaa .wana hela mpaka wanaharisha
 
Aseeee kama harusi vile. Kweli tunasindikiza maisha.

Mi niko najivuta vuta hapa hela ya tiles nikajengee kaburi december nadunduliza wao wanafanya party???

Halafu hio marble hapo nyok#
hiyo ni kumbukumbu ya miaka sijui mitano ya mtoto wa huyo dada.unaambiwa kaburi ni balaa daily lina order ya maua fresh elf 50.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
just imagine baba yako ,tema mzee labda mgonjwa apelekwe segerea .mi ningekufa pressure.hivi wanakaa mahali na kula kweli.inamuma sana .maisha yana mitihani hata uwe nani hujui mtihani wako utakuja vipi.i feel very sory for ruges family.
Hiyo sorry ungempa yuke mama kijijini anayechota maji na kibakuli kujaza ndoo ningekuelewa, ila si kwa hawa, kunamtu kasema hapo juu, ukiiba na kula bata lazima ulipe hivyo hivyo kitofauti, utatesa na kuteseka hapa hapa duniani!
 
Waaaaacha... mil 800 hv hv??? Aisee wana mijipesa hawa ila nahisi wataishia kuzirudisha kwa njia ya kujitetea.. saa hizi ni usawa wa kutingishwa kama mti pesa zote nimwagika ndo pona yako
Hahaha unavyoizungumzia kama nakuona vile, hahaha sina mbavu kabisa aise.. ila ndio ukweli wenyewe, lazima mti wao wa hela utingishwe, tatizo mie na wewe hatupo kuokota hata mia tano!🙂😉
 
hata sijui wapo wangapi mkuu. nasikia ndo wenye mabibo wino wasambazaji wa bia zote zitokazo nje. huyu dada nae nguo zake hakuna ya milioni anashona balaa .wana hela mpaka wanaharisha
Umesahau kuongezea kuwa mama yake alikuwaga muingizaji pekee wa Heineken nchini alipoachana nae wakamlipa fidia kubwa kwa sasa akahamia kwenye kuingiza windhoek nchini
 
Umesahau kuongezea kuwa mama yake alikuwaga muingizaji pekee wa Heineken nchini alipoachana nae wakamlipa fidia kubwa kwa sasa akahamia kwenye kuingiza windhoek nchini
loh wanapiga kila kona
 
Aisee tunapenda updates zao za sasa, mzee masikin saivi anatumia ndoo badala ya choo cha kuflash! Nahisi hata hawa wataanza kula tembere baada ya miaka 2 maan account zinaweza minywa barafu zikafreeze
Za mzee tayar labda zao
 
Mzee alipambana watoto waish kama malaika na kweli amefanikiwa
 
hata sijui wapo wangapi mkuu. nasikia ndo wenye mabibo wino wasambazaji wa bia zote zitokazo nje. huyu dada nae nguo zake hakuna ya milioni anashona balaa .wana hela mpaka wanaharisha
kumbe kama pesa walikua nazo kabla ya escrow
 
Hahaha unavyoizungumzia kama nakuona vile, hahaha sina mbavu kabisa aise.. ila ndio ukweli wenyewe, lazima mti wao wa hela utingishwe, tatizo mie na wewe hatupo kuokota hata mia tano!🙂😉
hawa watu hata kama watatingishwa pesa hawafilisiki
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom