Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Mwenye Enzi Mungu linda na kuitete nchi yetu Tanzania Milele YOTE
 
ndio ni binti yake
18160347_198027584040136_1885873530688503808_n-jpg.532133

Mbona kama unafanana naye wewe Miss Natafuta
 
Ukisoma huu uzi kuna wanaojipa kitu kinaitwa psychological comfort. Hawaamini kwamba huyu mzee na mawe aliyonayo ameungana na Kitilya Keko. All I can say is: Times change.

###Hela ya serikali haijawahi kuacha mtu salama!
 
Waalifu wa pembe za ndovu hakuna dhamana hawa mafisadi warudijshe khaa...!
 
Nilijua black americans mpaka nilipoona nguo nyeupe!😀
 
Son of cow kalipa 200m, pia kakabidhi hati ya nyumba mahakamani yenye thamani ya dola 300,000.. Kitu kama hicho..

Ndo nilichokua namuuliza jamaa mmoja ana jina la kijinga jana anasema kalipa mil 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom