Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Hela ya Esrow Inapofanya kazi..

Umesahau kuongezea kuwa mama yake alikuwaga muingizaji pekee wa Heineken nchini alipoachana nae wakamlipa fidia kubwa kwa sasa akahamia kwenye kuingiza windhoek nchini
it means ela ya escrow imeongeza mfuko tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna watu humu wanalaumu hawa vijana wanaishi maisha ya anasa , wakisahau kuwa hizo ni juhudi za wazazi wao wakikesha usiku na mchana kutafuta huku wazazi wenu wakikesha wameweka miguu juu ya sturi,
Kila mtu apambane na hali yake
 
dah huyo mtoto wa kiume.. mkewe kama mnyarwanda vile... kweli pesa sabuni ya roho...

hapa nawaza gesi imeisha.. jamaa yuko na mtoto kama jay z na beyonce vile...
 
Waanze kujifunza maisha tofauti soon kwa Magu watayasahau
 
Waanze kujifunza maisha tofauti soon kwa Magu watayasahau
Unafikiri ni rahisi kiasi hicho?

Usitegemee Magu amshushe mtu aliyepambania maisha yake akafika alipo.. Pambana na hali yako kijana!
 
Aisee tunapenda updates zao za sasa, mzee masikin saivi anatumia ndoo badala ya choo cha kuflash! Nahisi hata hawa wataanza kula tembere baada ya miaka 2 maan account zinaweza minywa barafu zikafreeze
Wana account uswiss.tajiri haweki hela zote sehemu moja.
 
Miss natafuta inaonekana wajua vingi, tupeni majina na account zao tuwa follow
 
  • Thanks
Reactions: SDG
kumbukumbu ya kifo cha huyo mtoto mwaka huu party
18160347_198027584040136_1885873530688503808_n-jpg.532133
Duck bukin au????
 
Usijiulize jiulize mdingi wako Alikuwa wapi wakati mdingi wa mwenzio Akipiga hela ukiipata Nafasi itumie no one knows tomorrow.


Pambana na hali yako
Magufail akiisoma comment yako anaweza kuihamishia hazi ya nchi nyumbani kwake chato!!
Comment zingine muwe mnajifikiria kwanza kabla ya kupost.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom