Kama Simba Ni mbovu, hao waliotolewa tunawaitaje. Kuna timu mbovu inashinda goli nne bila?Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha Utoto mwingi na Kunyimana Pasi na kutaka Sifa Binafsi za Kufunga GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza kusema kuwa Safari yetu ndiyo imeishia hapa.
Simba SC inaenda Kukutana na Moja ya Vigogo hivi viifuatavyo Barani Afrika hivyo ninaposema kuwa tunaishia hapa Robo Fainali kutokana na kuwa na Timu mbovu kwa sasa na yenye Kiwango kibovu hasa kwa Mechi za Kimataifa ninamaanisha.....
1. TP Mazembe ( Congo DR )
2. Orlando Pirates ( South Africa )
3. Al Ahly Tripoli ( Libya )
Najua kwa huu Uzi wangu msiotaka Ukweli, wapenda Unafiki na msio na Jicho la Kiufundi la Kimpira hapa mtanitukana na Kunidhihaki kwa kila namna na mpo pia ambao mtasema Mimi ni Yanga SC ila nasisitiza tena kuwa Mafanikio yetu yameishia Jana tu kwa kufika hapa Robo Fainali ya CAFCC lakini nina uhakika wa 100% kwa Simba SC hii ya sasa 'hatutoboi' kamwe hatua ya Nusu Fainali.
Na nakumbusha tu kuwa hizi Mechi za hatua Robo Fainali kati ya moja ya hizo Timu nilizozitaja hapo juu zitachezwa / tutacheza kati ya tarehe 15 hadi 17 Mwezi huu wa April na kurudiana tena kati ya tarehe 22 hadi 24 Mwezi April, 2022.
Timu inashinda kwa Morali tu ya Pesa kwa Ahadi za Mwekezaji na Rais wa Heshima Mohammed Dewji na Mambo yetu ya 'Kienyeji' hasa ya Nje ya Uwanja ila siyo kwa Kiwango cha Mpira kinachotakiwa na hata Kocha wa Simba SC hana Ubora na Uzuri huo na hatuna Wachezaji wa Kiushindani isipokuwa tunao tu hawa wa Kubahatisha ambao leo Moja wanatufurahisha lakini Mechi zaidi ya Tano ( 5 ) za Ligi au za ASFC au za Kimataifa Wanaharibu na Kurukaruka tu Viwanjani
Ushauri wangu wa mwisho kwakuwa nina uhakika kuwa Simba SC tunaenda kuishia tu hapa Robo Fainali nashauri tujikite tu zaidi huku katika NBC Premier League na kule ASFC ili tubebe Ubingwa ( japo katika Ligi Kuu ya NBC nina wasiwasi kama tutabeba ) na tukifanikiwa basi Uongozi wa Simba SC ufanye Maamuzi Magumu ya Kuachana ( Kuwatema ) Wachezaji wengi Wazawa na hata Wageni ( wasio na Hadhi ya Kuchezea Simba SC kwa sasa ) kisha Tusajili Wachezaji mahiri na wa uhakika kweli kama ambao baadhi yao wapo kwa Watani zetu Yanga SC mfano wa akina Beki Kiraka Yanick Bangala, Kiungo Fundi Khalid Aucho na Mshambuliaji hatari Fiston Mayele ( wa Nje ) na akina Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Feisal Salum Fei Toto ( wa Ndani )
Kila Ia Kheri Mechi yetu na Coast Union FC katika Ligi Kuu ya NBC tarehe 7 April, 2022 na Mechi ya Police Tanzania Wikiendi hii ijayo na tugangamale kweli katika Mechi zetu zote za Ligi Kuu na hata Kombe la ASFC kwani kwa hatua za sasa hakuna Kulala wala Mzaha tena kwani kwa Upinzani mkubwa uliopo na jinsi Yanga SC ilivyo na Kiwango kikubwa na cha Hatari ( huku wakiwa wamejipanga vyema ndani na nje ya Uwanja ) kuna uwezekano pia ambao GENTAMYCINE nauona wa Wao ( Yanga SC ) kubeba Ubingwa ( Makombe ) yote haya na Simba SC yetu ( yangu ) kwa Msimu huu tukabaki na Mafanikio ya Kubeba Kombe la kuishia tu Robo Fainali ya CAFCC.
'Ukweli' huuma, ila ni 'Dawa' inayotibu!!!
Cc: Mzizi wa Mbuyu
Kuna mawazo halafu Kuna uchawi. Wewe Ni mchawi unawanga mchana kweupee pale ubungo.Heshimu Mawazo yangu na Mtazamo wangu sawa?
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)

Si tulikubaliana durby Ni Yanga Na Azam??simba Ni levo Za kimataifa au?Ushauri mzuri mkuu. Ila kumbuka utani wa jadi uko pale pale. Yanga inawasubiri kwa hamu sana mechi ijayo
Naomba huu uzi udumuTusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha Utoto mwingi na Kunyimana Pasi na kutaka Sifa Binafsi za Kufunga GENTAMYCINE nakuwa wa Kwanza kusema kuwa Safari yetu ndiyo imeishia hapa.
Simba SC inaenda Kukutana na Moja ya Vigogo hivi viifuatavyo Barani Afrika hivyo ninaposema kuwa tunaishia hapa Robo Fainali kutokana na kuwa na Timu mbovu kwa sasa na yenye Kiwango kibovu hasa kwa Mechi za Kimataifa ninamaanisha.....
1. TP Mazembe ( Congo DR )
2. Orlando Pirates ( South Africa )
3. Al Ahly Tripoli ( Libya )
Najua kwa huu Uzi wangu msiotaka Ukweli, wapenda Unafiki na msio na Jicho la Kiufundi la Kimpira hapa mtanitukana na Kunidhihaki kwa kila namna na mpo pia ambao mtasema Mimi ni Yanga SC ila nasisitiza tena kuwa Mafanikio yetu yameishia Jana tu kwa kufika hapa Robo Fainali ya CAFCC lakini nina uhakika wa 100% kwa Simba SC hii ya sasa 'hatutoboi' kamwe hatua ya Nusu Fainali.
Na nakumbusha tu kuwa hizi Mechi za hatua Robo Fainali kati ya moja ya hizo Timu nilizozitaja hapo juu zitachezwa / tutacheza kati ya tarehe 15 hadi 17 Mwezi huu wa April na kurudiana tena kati ya tarehe 22 hadi 24 Mwezi April, 2022.
Timu inashinda kwa Morali tu ya Pesa kwa Ahadi za Mwekezaji na Rais wa Heshima Mohammed Dewji na Mambo yetu ya 'Kienyeji' hasa ya Nje ya Uwanja ila siyo kwa Kiwango cha Mpira kinachotakiwa na hata Kocha wa Simba SC hana Ubora na Uzuri huo na hatuna Wachezaji wa Kiushindani isipokuwa tunao tu hawa wa Kubahatisha ambao leo Moja wanatufurahisha lakini Mechi zaidi ya Tano ( 5 ) za Ligi au za ASFC au za Kimataifa Wanaharibu na Kurukaruka tu Viwanjani
Ushauri wangu wa mwisho kwakuwa nina uhakika kuwa Simba SC tunaenda kuishia tu hapa Robo Fainali nashauri tujikite tu zaidi huku katika NBC Premier League na kule ASFC ili tubebe Ubingwa ( japo katika Ligi Kuu ya NBC nina wasiwasi kama tutabeba ) na tukifanikiwa basi Uongozi wa Simba SC ufanye Maamuzi Magumu ya Kuachana ( Kuwatema ) Wachezaji wengi Wazawa na hata Wageni ( wasio na Hadhi ya Kuchezea Simba SC kwa sasa ) kisha Tusajili Wachezaji mahiri na wa uhakika kweli kama ambao baadhi yao wapo kwa Watani zetu Yanga SC mfano wa akina Beki Kiraka Yanick Bangala, Kiungo Fundi Khalid Aucho na Mshambuliaji hatari Fiston Mayele ( wa Nje ) na akina Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Feisal Salum Fei Toto ( wa Ndani )
Kila Ia Kheri Mechi yetu na Coast Union FC katika Ligi Kuu ya NBC tarehe 7 April, 2022 na Mechi ya Police Tanzania Wikiendi hii ijayo na tugangamale kweli katika Mechi zetu zote za Ligi Kuu na hata Kombe la ASFC kwani kwa hatua za sasa hakuna Kulala wala Mzaha tena kwani kwa Upinzani mkubwa uliopo na jinsi Yanga SC ilivyo na Kiwango kikubwa na cha Hatari ( huku wakiwa wamejipanga vyema ndani na nje ya Uwanja ) kuna uwezekano pia ambao GENTAMYCINE nauona wa Wao ( Yanga SC ) kubeba Ubingwa ( Makombe ) yote haya na Simba SC yetu ( yangu ) kwa Msimu huu tukabaki na Mafanikio ya Kubeba Kombe la kuishia tu Robo Fainali ya CAFCC.
'Ukweli' huuma, ila ni 'Dawa' inayotibu!!!
Cc: Mzizi wa Mbuyu
durby=derbySi tulikubaliana durby Ni Yanga Na Azam??simba Ni levo Za kimataifa au?
mchawi Hana hoja kazi yake kuwanga na kuloga.Shida mnamshambulia mleta mada (Personal attack) badala ya kujibu hoja zake