Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 248
- 969
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika kipindi cha Wake Up Call cha Upendo Media, zikiwa zimepita siku nne tangu Mbowe alipojitokeza katika uzinduzi wa Dira Samia Suluhu Hassan.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika kipindi cha Wake Up Call cha Upendo Media, zikiwa zimepita siku nne tangu Mbowe alipojitokeza katika uzinduzi wa Dira Samia Suluhu Hassan.