kukaa kimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nchi "imetekwa" na watu katili sana. WanaCCM wamekuli kukaa kimya na CHADEMA wachache wamejitoa muhanga. Lakini kilamoja anaumia na Mfumo huu

    SASA WAKULIMA WA TUMBAKU, PAMBA NA KATANI wamekipata. Bei ni Yakuumiza na kufilisi kabisa. Lengo tukate tamaa, tuache kilimo, tupivwe njaa kisha tupewe silaha tuuane. Wanaua uchumi wa kila mtu. Sawa na Kahawa Wafanyakazi wa umma hali ni Ngumu kuliko wakati wowote. Walitekwa kwenye uchaguzi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kununua bidhaa au kulipia huduma kwa ndugu, bestie au mtu wa karibu, halafu ikawa mbovu lakini ukalazimika kukaa kimya ili usiharibu uhusiano?

    Ilikuwaje? Je, uliwaambia ukweli baadaye au uliamua "kuuchuna" tu? Tuambie uzoefu wako kwenye comments. Ndugu Supplier wako wa muda mrefu mtoto wako mwenza wako bestie,
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya kwa Mbowe hakumsaidii chochote, zaidi ya kumtambulisha ni mtu wa kununa

    Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa Unawezaje kuwanunia...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi ambaye ni Mkatoliki katumwa na Fr. Kitima na viongozi wa Kikatoliki ndio maana yupo kimya?

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake. Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  7. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Tunangoja nani aje kutuokoa kama sisi wenyewe tumeamua kukaa kimya na kuishi na Majizi na Mafisadi?

    Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua? Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa? Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!! Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!! Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!! Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

    Salaam, Shalom! Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini? Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  13. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Rais Samia kama unamjali Magufuli utoke hadharani na kukemea hiki kitabu cha Kabendera

    Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi...
  16. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Jifunze kukaa kimya hakuna matatizo ya kudumu

    Pablo Escobar aliwahi kushauri kwamba, si vyema sana kuwaambia watu matatizo yako. Alipoulizwa kwanini alisema ivi, "Asilimia 80 ya watu unaowaambia matatizo yako, hawajali na wala hawazingatii, asilimia 20 iliyobaki wanashukuru au wanafurahia wewe kuwa na hayo matatizo uliyonayo". Rafiki yangu...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kukaa kimya Kariakoo unakuta frame kubwa imejaa Kufuli tupu

    Nimewaza sana hili jambo Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo Unakuta frame kubwa kalii hatareee Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE V8 JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo Kama wanapata faida kila la kheri
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya pia ni jibu, lakini si jibu la kila kitu

    📖Mhadhara wa 24: Kadiri unavyokuwa mkimya ndivyo unazidi kujiongezea thamani na sifa nzuri. Hupaswi kujibu kila kitu, unashauriwa kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo. Kukaa kimya pia ni jibu, lakini si jibu la kila kitu. Unafika wakati unapaswa kuvunja ukimya na kuzungumza, kwa maana pia ukiacha...
Back
Top Bottom