didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,106
- 3,592
kwani saiv watu Hawafi?Watanzania tumezidi unafiki. Yaani huyo mtu ameumia kwa kutukanwa kwenye kampeini za uchaguzi hadi kususa. Yeye katika harakati zake amechafua wangapi, ni wangapi wamemwaga damu katika harakati alizoanzisha yeye. Huyo mtu wenu hawezi pona kirahisi, kaharibu maisha na amemwaga damu za watu wengi kuipitia harakati zake uchwara.P