PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.

Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.

Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni

Mambo mengine mnajivuruga wenyewe Tu, haha chadema wanataka picha za police wakifukiza watu haha

Wanataka picha za Lissu akiwasili mahakamani kama Osama bin laden

Na nyie bila kufikiri mnaingia kichwa kichwa

Mind games hizo
 
Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.

Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.

Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Yaani watu 105 ndio waandaliwe nauli iki wasafitishwe? Mbona hapa hapa Dar wapo wengi tu mara dufu tena bila gharama?
 
Hv hzi akili za chekechea mtu mzima unazitoa wapi?
Kwan Sheria si inaruhusu watu kuingia mahakamani kusikiliza mwenendo wa kesi yoyote Ile?
 
Ni kweli kabisa acha nikupe hii zawadi ndogo mkuu 🖕🏿
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa taifa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Heche ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kibamba, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuendelea kunadi kampeni ya chama hicho ya hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.

Acha upumbavu
 
Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.

Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.

Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Unaliwa kibogah
 
Unapotoshaaaa
 
Back
Top Bottom