Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,309
- 54,824
i was there, shuhuda. Walienda na mm nikiwepo.Walienda au utaenda?
wkt kesi ya mbowe inarindima
i was there, shuhuda. Walienda na mm nikiwepo.Walienda au utaenda?
Na mbowe alivyoitisha maandamano akajikuta barabarani na mtoto wake tu wakakamatwa peke yao wewe ulikua wapi?i was there, shuhuda. Walienda na mm nikiwepo.
wkt kesi ya mbowe inarindima
We mjinga SanaOlyempari
Swali lako very irrelevant, naongelea wakati wa kesi ya kubambikiziwa ugaidi.Na mbowe alivyoitisha maandamano akakamatwa yeye na mtoto wake wewe ulikua wapi?
Mimi hata sishangai ujinga ulioandika. Kama watu wazima wa serikali ya CCM wanafanya ufala mwingi, hatutegemei cha maana kutoka kwakoKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Na mimi nimeulizia maandamano aliyoitisha mbowe yafanyike nchi nzima ila akatoka peke yake na mtoto wake wakakamatwa siku hiyo wewe ulikua wapi?Swali lako very irrelevant, naongelea wakati wa kesi ya kubambikiziwa ugaidi.
We kweli mjinga wapi aneandaa watu?Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Where i was wakati wa hayo maandamano ni irrelevant.Na mimi nimeulizia maandamano aliyoitisha mbowe yafanyike nchi nzima ila akatoka peke yake na mtoto wake wakakamatwa siku hiyo wewe ulikua wapi?
Kwa uoga uliouonyesha wa kutokujitokeza kwenye maandamano na kumuacha Mbowe aandamane peke yake na mtoto wake peke yao vipi utaweza kujitokeza siku ya mahakama?Where i was wakati wa hayo maandamano ni irrelevant.
Since tunaongelea masuala ya mahakama na wanaotaka kujitokeza na waliojitokeza back then
Huna point, unahangaika sana kutaka kujua niko wapi which is irrelevant hapa, huwez kuwepo sehem zote muda wote. But nimeudhurua kesi nyingi sana kuliko unavyodhan.Kwa uoga uliouonyesha wa kutokujitokeza kwenye maandamano na kumuacha Mbowe aandamane peke yake na mtoto wake peke yao vipi utaweza kujitokeza siku ya mahakama?
Aise tumelaaniwa sana hili Taifa. Hawa ndiyo wana CCM ambao kesho kutwa watachukua fomu za kugomea uongozi. Wapinzani wao wakatwe, wao wapite bila kupingwa wawe wabunge, then mawaziri na manaibu Waziri. And, tunadhani hili taifa linaweza likasogea.Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni
Kuhudhuria kesi ni jambo la kawaida kila mtu anahudhuria vipi kwenye maandamano ya mabadiliko kwanini hauhudhurii?Huna point, unahangaika sana kutaka kujua niko wapi which is irrelevant hapa, huwez kuwepo sehem zote muda wote. But nimeudhurua kesi nyingi sana kuliko unavyodhan.
So get a grip son
Unakumbuka swali la kwanza ulilouliza? Umetoka kwenye kuhudhuria kesi unaenda kwenye maandamano? SeriouslyKuhudhuria kesi ni jambo la kawaida kila mtu anahudhuria vipi kwenye maandamano ya mabadiliko kwanini hauhudhurii?
Atiwe nguvuni mara mojaKuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuni