Kuna taarifa kwamba Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameandaa kundi la vijana wakavamie Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu tarehe 24.4.2025. Baadhi ya vijana 105 amewalipia nauli kutoka Kanda ya Serengeti. Vijana wengine anawaandaa hapa Dar es salaam, Tetesi zinasema atawapa silaha.
Nashauri vyombo vya dola viwe mbele ya matukio kwa kumkamata na kumuhoji John Heche pamoja na Lemma.
Pia nashauri Mahakama iendeshe kesi hiyo kwa njia ya mtandao ili shughuli za jiji zisiingiliwe na wahuniWe ni mwanaume mwenye familia? Au bado unajitafta