Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Magamba yakipongezana. Vipi Noah zetu zinaingia lini bandarini.?mi nataka nyeusi.You are really great thinker...unaona mbali sana ambapo nyumbu 30000 hawawezi ona...
Magamba yakipongezana. Vipi Noah zetu zinaingia lini bandarini.?mi nataka nyeusi.You are really great thinker...unaona mbali sana ambapo nyumbu 30000 hawawezi ona...
Mkuu Mwigulu Nchemba unaujua ukweli hata kama umeamua kupiga siasa huko Singida. CCM na viongozi wake ndio wametufikisha leo hapa. tatizo hampendi kuelezwa ukweli.unaanzaje kusema uwachukulie hatua wote waliohusika huku ukisema Kikwete na Mkapa wasisumbuliwe? Hakuna kesi hapo hao wote mtakaowahoji ( kama mtafanya hivyo) watawaambia ni maelekezo kutoka kwa bosi na hamtakuwa na la kuwafanya. Simple and clearSoma na haya maneno ya mwenzenu hapo kwenye blue hivi wakala ni yule anayesema kutetea uhalisia wa tukio au yule aliyeweka saini kwenye sheria na mikataba ili hao wezi waibe? Duhh!! nalaani sana kuzaliwa Tanzania
WAZIRI NCHEMBA ATOA SIRI SABABU YA MKAPA NA KIKWETE KUHUSISHWA SAKATA LA MAKINIKIA
KITAIFA
BY RABI HUME
JUNE 18, 2017
Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha Marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu (makinikia) kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika.
Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amesema wezi hao walitafuta kichaka cha kutaja viongozi waliostaafu ili kuzia serikali iache kufatilia sakata hilo.
“Viongozi wetu hawajawai kuwa mawakala wa wale wanao tuibia, mawakala tumewabaini ni wale wanao watetea wezi,” alisema Waziri Nchemba.
Waziri Mwigulu ameongeza kusema sifa ambayo inafanya viongozi walioko madarakani wasing’ang’anie madaraka ni viongozi wastaafu kuheshimiwa baada ya muda wa uongozi.
Waziri Mwigulu ameyaongea hayo akiwa katika kijiji cha Zinzirigi katika Tarafa ya Ndago katika mwendelezo wa ziara jimbo kwake Iramba Magharibi kuongea na wananchi kuwaeleza alipofikia kuhusu ahadi ambazo walikubaliana kutekeleza hasa suala la umeme kutokufika katika vijiji vingi akieleza kuwa sababu ni mkandarasi aliyekuwepo mkoa wa Singida aliyetolewa baada ya kushindwa kazi lakini sasa ameambiwa na watu wa wizara ya nishati kuwa wakandarasi wawili wameshapatikana hivyo kuanzia sasa zoezi la kuunganisha umeme vijijini utaendelea kwa kasi hasa wa REA awamu ya Tatu.
Kuhusu ujenzi wa zahanati amesema mpaka sasa zahanati katika vijiji vingi alipopita zimefika hatua nzuri ya kupaua na kuwahidi kuwa pelekea mabati na mbao na mifuko ya saruji 100 ili zahanati hizo zikamilike na kuanza kutoa huduma mapema sana.
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Nani kakwambia mmiliki wa acacia ni mossad? Unajua mossad ni nini? Acheni stori za kwenye kashata vijana.Watanzania wananiangusha sana jamani. Tulishaambiwa mmiliki wa Acacia ni Mossad lakini hakufua dafu, eti wataalamu waliobobea ushit, na hao tukiwamaliza, mtakuja kutwambia Acacia wamemleta Referee Collina kuja kuzungumza na JPM na mijitu itakuja kuweka post ikiuliza "mara hii tutatoka kweli?" Nasema ivi, tutatoka mara zote kwa hawa majambazi. Anyways hio bodi haiji hapa kutaka kuitetea Acacia, hio bodi ni kama washauri tu.
e e e eeeeee..... kulikuwa na mada humu ililetwa tukaambiwa jamaa ni mossad, sijui mwengine mmarekani kwenye defence bla bla zilikuwa nyingiiii na vitisho visivofua dafu. kwaio tulia usichapie mchango.... wacha magu ashughulikie ili swala. wakati tulipokuwa tunaibiwa makelele mengi sasa tunajitahidi kutetea chetu mnaanza kuiombea dua serikali ibume.Nani kakwambia mmiliki wa acacia ni mossad? Unajua mossad ni nini? Acheni stori za kwenye kashata vijana.
Ndio hivyo mkuu watu wanabadilika Kitila Mkumbo siyule tena.ni sawa na kabudi nae kwa sasa hata mawazo ya katiba mpya hana tena.ni msiba mzito kwa wasomi wetu.Dah. Mwl wangu Kabudi sijui karogwa na nini? Mi siamini yaani
Hawawezi. Maana wanajua walichokifanya! JK kaenda CanadaNashauri mh rais amtumie mh tundu lissu maeneo kama haya kwa maslahi mapana ya taifa
Israel huwa hawaishi kitapeli mkuu...trust me. Au kama huamini muulize Papa Msofe atakwambiae e e eeeeee..... kulikuwa na mada humu ililetwa tukaambiwa jamaa ni mossad, sijui mwengine mmarekani kwenye defence bla bla zilikuwa nyingiiii na vitisho visivofua dafu. kwaio tulia usichapie mchango.... wacha magu ashughulikie ili swala. wakati tulipokuwa tunaibiwa makelele mengi sasa tunajitahidi kutetea chetu mnaanza kuiombea dua serikali ibume.
Uwoga wenu, umaskini wenu BINAFSI NINAWAHESHIMU WAbongo kwa kuwaogopa wazungu duh...lakini ninachojua ni kwamba tuna wasomi wenye weledi Tz juu ya madini subili uone!Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?![]()
Pia si mtaalamu sana maana Mimi ni Advocate tu. But anyway, Mimi siwaamini wataalamu wabobezi wetu hata siku moja mkuu maana hawa ndo wametufikisha hapa tulipo.Boss Kipapatiro Wadau naombeni maana na utofauti kati ya Ubobezi na Uelewa. Na je unaweza ukawa Mbobezi na Usiwe Muelewa?
My Take: Hii kitu tusiikuze kihivyo. Makanikia ni asilimia ndogo sana kuliko wanachozalisha. Wao wakileta hao sijui Wabobezi au Wataamu sijui mbinu hizi na zile. Sisi tupeleke Wataalamu wenye Uelewa. Ukubwa wa Pua si Wingi wa Makamasi.
Haya asanteUwoga wenu, umaskini wenu BINAFSI NINAWAHESHIMU WAbongo kwa kuwaogopa wazungu duh...lakini ninachojua ni kwamba tuna wasomi wenye weledi Tz juu ya madini subili uone!
KWAKUWA TULISAINI SISI HIYO MKATABA KWA HYO TUKAE KIMYA TU MPAKA NABII ISSA ARUDI AU TULIANZISHE KAMA HIVI MAANA MNACHOSHUPALIA NI SAWA NA KUTAKA MAREHEMU ARUDIHapana mzee. Si kweli! Yaani wewe na ccm yenu msaini mikataba mahotelini huku mnakula bagger Leo hii niwaonee huruma Mzee? Sijawa zuzu kiasi hicho Mzee
Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
Dawa ya hao watu ni kujikita kwenye hoja, watu wetu wasikubali kuingiza maswala ya democrasia, utawala wa sheria,ukimwi,umasikini, n.k kwenye mjadala.
Hoja ni moja tu wamekuwa wana underestimate kiwango cha dhahabu na madini mengine yaliyo kwenye mchanga wanaosafirisha.
Na ikiwezekana njia ya kwanza ya kupima kiwango hicho iwe ni ile iliyotumiwa na akina profesa mruma na osolo.
Kama watataka itumike njia ingine tuite warusi waverify accuracy yake.
hao wataalamu watapambana na wataalamu wetu....hela za makanikia zinahitajika kwaajili wa Watanzania
Western walileta upinzani sio kwa maendeleo ndugu bali kwa interest zao na wasomi wetu waliokaririshwa ulaya wakakubali tu kwa kigezo cha democracyWA TZ bhn nchi ya kwenu, Mali za kwenu, Acacia wako kwenu, Wameiba mali yenu, Nashangaa sana mnavyosambaza woga kwa wananchi., Ili iweje..?? Kama mtu kaamua na kasema anaweza mpeni walau support bhas....
Sipati picha km TZ leo hii ikiingia vitani sidhani kama kutakua na wazalendo wa kufia nchi hii....!?? Yaan hatuna umoja hata kidogo..!! Muda mwingine hua naona bora chama kimoja tu kingebaki, Upinzani walifanya vizuri lkn kwa hii sumu walowapa wananchi nawalaumu sana..!!