Kwa hiyo unataka tuogope?? Wewe jamaa utakuwa na roho mbaya sana napia nauwakika huna maendeleo yoyote.Mkuu hiyo avatar hapo ni noma...Google
Kwa hiyo unataka tuogope?? Wewe jamaa utakuwa na roho mbaya sana napia nauwakika huna maendeleo yoyote.Mkuu hiyo avatar hapo ni noma...Google
Watanzania tuko wajabu sana....wale wale wanaotuletea taifa hili hasara ndo haohao wanaotushawishi tuwapongeze wanapoanza move nyingine.....hizi move zenu mnazozianza kwa mbwembwe na baadaye wenyewe mnawatangazia wananchi kwanba zimeleta hasara katika nchi tutakuwa mazuzu kuwapongeza.... zingekuwa na matokeo mazuri mgekuwa na haki ya kutulaumu tunapowapinga.
Move kama za Bulyankhuru,
Richmond, IPTL, Gesi, ESCROW, EPA....Sheria na mikataba
yake...hivyo hivyo mlitushawishi sana tuwapongeza..leo mnataka
tuwapongeze kwa kutuonyesha hasara mliosababishia taifa...badala ya kutuomba samahani kama kweli ni wazalendo.
siasa+sayansi+sheria+UTAIFAWA TZ bhn nchi ya kwenu, Mali za kwenu, Acacia wako kwenu, Wameiba mali yenu, Nashangaa sana mnavyosambaza woga kwa wananchi., Ili iweje..?? Kama mtu kaamua na kasema anaweza mpeni walau support bhas....
Sipati picha km TZ leo hii ikiingia vitani sidhani kama kutakua na wazalendo wa kufia nchi hii....!?? Yaan hatuna umoja hata kidogo..!! Muda mwingine hua naona bora chama kimoja tu kingebaki, Upinzani walifanya vizuri lkn kwa hii sumu walowapa wananchi nawalaumu sana..!!
Heri ya Lowassa yeye alipinga sana. Hoja za kitoto Hizo. Werevu watakuambia kila zama na kitabu chake. Mengine siasa uchwara tu. Piga kazi. Kuwa mzalendo. Acha majungu.Hivi kipindi hicho wapinzani wanatoa hoja za kusaidia kuinusuru nchi na huo wizi mpaka mkawafukuza bungeni ndo ulikuwa uzalendo!? Au huyo Magufuli mnayemuona kama mkombozi wenu yeye hakushiriki kuitikia ndioooooooooo tena kwa mbwembwe zote!?
Kwani nani amewaruhusu watuibie sio serikali hii ya ccm? Mnataka tuwe wazalendo wakati mnakula hela zao mbn hamkuonesha uzalendo tule wote?WA TZ bhn nchi ya kwenu, Mali za kwenu, Acacia wako kwenu, Wameiba mali yenu, Nashangaa sana mnavyosambaza woga kwa wananchi., Ili iweje..?? Kama mtu kaamua na kasema anaweza mpeni walau support bhas....
Sipati picha km TZ leo hii ikiingia vitani sidhani kama kutakua na wazalendo wa kufia nchi hii....!?? Yaan hatuna umoja hata kidogo..!! Muda mwingine hua naona bora chama kimoja tu kingebaki, Upinzani walifanya vizuri lkn kwa hii sumu walowapa wananchi nawalaumu sana..!!
Swali lako toa neno tz weka ccm na serikali yake na acacia?
Sawa wameingia mikataba mibovu na haya yote sababu ni wao na vita ndo ishaanza......Mi nawauliza swali moja tu ninyi watu....!
Mpo upande gani kwenye hii vita..?? TZ / ACACIA...??
Tulitakie mema wakati nyie ndo mmewapa madini yetu wasepe nayoSikutaja mtu lakini nilijua tu wapumbavu kama nyie mtanasa na kujitokeza msiolitakia mema taifa letu, kama siyo mtanzania tuache nchi yetu wenyewe wewe rudi kwenu.
Waliowapa madini hao wazungu ndio wahangaike nao wengine walionya tangu mapema wakapuuzwa sasa endeleeni naoWatanzania wananiangusha sana jamani. Tulishaambiwa mmiliki wa Acacia ni Mossad lakini hakufua dafu, eti wataalamu waliobobea ushit, na hao tukiwamaliza, mtakuja kutwambia Acacia wamemleta Referee Collina kuja kuzungumza na JPM na mijitu itakuja kuweka post ikiuliza "mara hii tutatoka kweli?" Nasema ivi, tutatoka mara zote kwa hawa majambazi. Anyways hio bodi haiji hapa kutaka kuitetea Acacia, hio bodi ni kama washauri tu.
Walioonya mapema wamekuwa watetezi wa majambazi. Upepo umebadilika hafla naona.... ngoja nimalize kahawa yangu nikiona mkieneza vitisho. Kama wamelivuruga CCm basi ndio hao hao wanaolitengeza, hao wengine walokuwa wapingaji sasa wamekuwa watetezi wa wezi wa taifa.Waliowapa madini hao wazungu ndio wahangaike nao wengine walionya tangu mapema wakapuuzwa sasa endeleeni nao
Wapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
WEWE NDYO HUNA AKL KILA KITU UNAPINGA TUAMBIE UNACHOKIJUA ILI IWE NI BADALA YA HIKI UNACHOITA WEWE NI UWONGO. MAANA KWA UJUAJI WENU HATA DAKTARI AKIKUAMBIA UNA KANSA UTASEMA UNA JIPU NA UTABISHANA NAYE SANA TUWe jamaa bana! Unataka kila MTU ashikiliwe akili hapa Tz? Dah bado tunasafari ndefu sana
Hahahah. Wapite JapanWala hakuna haja ya kujadili trilioni 108, tutume watu wapite Japan kuweka order za Noah halafu wapeleke hesabu Canada. Tusubiri miezi 3 meli zianze kushusha vitu kila mtu awe DEREVA.