Glycel
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 415
- 191
Kweli na niwakimbiz kila kma umezaliwa bingo land huwez kuombea mabaya mungu yupo nasWapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
Kweli na niwakimbiz kila kma umezaliwa bingo land huwez kuombea mabaya mungu yupo nasWapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
Hahaa, halafu super-sub wao ni yule mkali wa ulanga na le professionari mwenyewe, mzee wa kutoka Geita yanakotoka madini.Hahahaaa. Yaani world cup tupeleke timu ya lipuli au stand united? Haloo wanipa raha!
Tuliaminishwa kuwa chenji ya rada itanunua vitabu vya shule,kujenga nyumba za walimu na kutengeneza madawati katika shule za sekondary zote,chenje imechukuliwa hakuna cha vitabu,nyumba za walimu wala mama yake na madawati,sijui hiyo chenji ya rada itakuwa imenunua madawati na vitabu na nyumba za kuishi walimu wanaofundisha ndani ya matumbo ya magambakila mtu akajichukulie Noah yake
Mimi kusema tunasubiri kulipwa trilioni 108 kila mtu ajipatie Noah yake ndio nimeliombea taifa abaya?We porpocon akili zako kam motto wa kindergarten unaombea mabaya kwan we unaishi Tanzania gani mkimbiz
Unasema ikithibitika je isipothibitika nini kitafuata? Maana yake ni kwamba kama hatutalipwa chochote au tukalipwa tofauti na tulivyotegemea au tukawalipa kwa kuwasababishia hasara hao wawekezaji.Kwani sisi tunataka kujua thamani y utajiri wao..?? Kama madini walotuibia miaka yote yameshindwa kuwatajirisha hiyo ni juu yao. Ikithibitika wametuibia watulipe, watajua wao watatoa wapi pesa sio kazi yetu hiyo....!! Na usidanganyike na figure za mtandaoni,, They are worthy more than that but why should they let you know...??
Sisi si tutapeleka wanaojua kusoma na kuandika only?na sisi tuweke wajuvi wa mambo na wabobezi pia. baada ya kujua mbinu zao na sisi tuzitumie pia
Acha uchochezi,tushaambiwa hao ni wanaumeWanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
Unashinda vipi angali hao tunaoshindana nao TUMEWAOMBA wajenge smelter hapa nchini. WtfNitawaona mna point kidogo mngejikita kutoa point za tunashindaje kwa tuliokwisha yaanza..!! Na sio kusambaza woga huo.. Alafu ulipokosea umem refer Millardayo ambaye kaishia la nne...!!
Acheni kulishana Upepo. Maprofesa hewa wanaropoka tu trillion 108. Na nyie mnaunga TelaNingekua raisi wa nchi ningeanza na hawa watu ndo niwageukie ACACIA...!! Wanaboa sana wazamiaji nchini kwetu...!!
Halafu ndio CHADEMA wapewe nchi? Itakuwa ajabu ya duniaAcheni kulishana Upepo. Maprofesa hewa wanaropoka tu trillion 108. Na minyumbu mnaunga Tela
Acheni kulishana Upepo. Maprofesa hewa wanaropoka tu trillion 108. Na minyumbu mnaunga Tela
Hata wamlete nani hawachomoi hii kituWanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
Makanikia tu yanawapa Tri 108? Minyumbu bwana
Chama kipi kibakiWA TZ bhn nchi ya kwenu, Mali za kwenu, Acacia wako kwenu, Wameiba mali yenu, Nashangaa sana mnavyosambaza woga kwa wananchi., Ili iweje..?? Kama mtu kaamua na kasema anaweza mpeni walau support bhas....
Sipati picha km TZ leo hii ikiingia vitani sidhani kama kutakua na wazalendo wa kufia nchi hii....!?? Yaan hatuna umoja hata kidogo..!! Muda mwingine hua naona bora chama kimoja tu kingebaki, Upinzani walifanya vizuri lkn kwa hii sumu walowapa wananchi nawalaumu sana..!!
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.