je ikithibitika hakuna wanachodaiwa? Tutakuwa tayari na sisi kukubali kuwalipa hasara ya kuzuia makontena yao? Wameshasema hasara wanayopata kwa kuzuia makontena hayo kwa siku moja ni $1m.Acacia waliomba mazungumzo kupitia balozi wao, acha uongo. Wakati wa mazungumzo Acacia wakasema wako tayari kulipa kile tu kitakachothibitika walipaswa kulipa na hawakulipa. Kinachosubiriwa ni mazungumzo ya kuthibitisha hilo.
Hakuna makontena yao!! Wanachimba tz na kuuza mchanga kinyume na mkataba. Mnahangaika kutafuta mahali panapo msaidia mwizi lakini mtashindwa. Siasa chafu nyieje ikithibitika hakuna wanachodaiwa? Tutakuwa tayari na sisi kukubali kuwalipa hasara ya kuzuia makontena yao? Wameshasema hasara wanayopata kwa kuzuia makontena hayo kwa siku moja ni $1m.
Daud Bashite kaomba pesa za kuwalipa kamati za Ufundi toka kila kona ya Dunia atapiga pesa nyingi kupitia huo mladiTuombe tu wale wazungu watuepeshi na kikombe hiki maana asilimia za ushinda zinazidi kushuka kadiri muda unavyosonga..
Tume zote mbili zilijaa maprofesa, wachumi, wanasheria na wafanyakazi wa TRA na zilikuwa zinafanya kazi ili mradi kumridhisha mteuzi wao.
Wajumbe wa tume zote waliweka weledi wa taaluma zao na kuendeshwa na mihemko & na hisia zaidi ya uhalisia.
Kuna uwezekano wa 100% wao kushinda kesi kutokana na mikataba mibovu ya CCM wazee wa ndiyoooo...je ikithibitika hakuna wanachodaiwa? Tutakuwa tayari na sisi kukubali kuwalipa hasara ya kuzuia makontena yao? Wameshasema hasara wanayopata kwa kuzuia makontena hayo kwa siku moja ni $1m.
Kuyasubiria haya majitu ni kupoteza mudaLet's wait