Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,128
- 1,497
- Thread starter
- #141
Ngoja wajuzi waje waliopiga makofi wakati was kupitisha mikataba kwa dharuraHiyo "plomatic" ndiyo mdudu gani?
Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
Ngoja wajuzi waje waliopiga makofi wakati was kupitisha mikataba kwa dharuraHiyo "plomatic" ndiyo mdudu gani?
Hapana mzee. Si kweli! Yaani wewe na ccm yenu msaini mikataba mahotelini huku mnakula bagger Leo hii niwaonee huruma Mzee? Sijawa zuzu kiasi hicho MzeeWEWE NDYO HUNA AKL KILA KITU UNAPINGA TUAMBIE UNACHOKIJUA ILI IWE NI BADALA YA HIKI UNACHOITA WEWE NI UWONGO. MAANA KWA UJUAJI WENU HATA DAKTARI AKIKUAMBIA UNA KANSA UTASEMA UNA JIPU NA UTABISHANA NAYE SANA TU
Ccm ni wajanja sana yaani mnashiriki kuangamiza Taifa kwa kutumia kivuli cha uzalendo. Labda hilo neno la uzalendo limekuwa na maana tofauti siku hizi.Heri ya Lowassa yeye alipinga sana. Hoja za kitoto Hizo. Werevu watakuambia kila zama na kitabu chake. Mengine siasa uchwara tu. Piga kazi. Kuwa mzalendo. Acha majungu.
Of course umeongea vema sana. Wanataka tusapoti ujingaCcm ni wajanja sana yaani mnashiriki kuangamiza Taifa kwa kutumia kivuli cha uzalendo. Labda hilo neno la uzalendo limekuwa na maana tofauti siku hizi.
Hahahah! Makinikia yatawaacha BWM na JMK salamaMakinikia hayajawahi kumuacha mtu salama!!
Acha uchochezi papaaJamani hapa mimi sioni majadiliano yoyote. Kuna madai ambayo yana ushahidi. Issue hapa si nani ataongea lugha gani. Issue ni kulipa hela zetu na kuweka mikataba sawa kwa siku za usoni au wasepe. Mara zote mtu akienda kwenye kesi kama hizi unakuwa umejicholea msitari wako kwamba hapa ni mwisho na ni kitu ambacho mi sina wasiwasi nacho. Kina Prof. Kabudi hawashindwi hilo.
Hatuwezi kupigana vita kibashite bashite. Lissu ameshauri vizuri sana. Kwanza turudi kwenye mikataba yetu na sheria tuzibadilishe haraka iwezekanavyo. Pili waliohusika wote na haya masuala kuanzia marais wa awamu zilizopita wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Ikiwezekana shughuli zote za uchimbaji wa madini kwenye migodi yote zisimamishwe mpaka mambo haya yatakapowekwa sawa.Sawa wameingia mikataba mibovu na haya yote sababu ni wao na vita ndo ishaanza......Mi nawauliza swali moja tu ninyi watu....!
Mpo upande gani kwenye hii vita..?? TZ / ACACIA...??
Noah mpyaaaaaaKwani sisi hatuwezi kuzungumza? Wapo wakina profesa mruma na mwenzake ossoro waende wakajitetee kama waliandika uongo haituhusu.tunachotaka trilioni 108 kila mtu akajichukulie Noah yake
Hatuwezi kupigana vita kibashite bashite. Lissu ameshauri vizuri sana. Kwanza turudi kwenye mikataba yetu na sheria tuzibadilishe haraka iwezekanavyo. Pili waliohusika wote na haya masuala kuanzia marais wa awamu zilizopita wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Ikiwezekana shughuli zote za uchimbaji wa madini kwenye migodi yote zisimamishwe mpaka mambo haya yatakapowekwa sawa.
Kwa wataalamu gani tulionao? Kabudi na Mwakembe? Ngoja sasa tunyolewe hadi vuz***Hata wamlete nani hawachomoi hii kitu
Mkuu tumeambiwa hawa watu wanastahili heshima tusiwataje tutakamatwa. shauri yako.![]()
![]()
![]()
![]()
Kama makinikia tu ni 108 trilioni (5%) je hiyo 95% itakuwa ni ngapi?
Nkapa na JK ni nchi tajiri sana
Sawa mkuu nasubiri Noah yangu. Tuko pamojaNdo mtakua mmerudisha kilichoibiwa,..?? Hayo yote ulosema mmeambiwa yatafanyika na pesa zitarudi...!! Msichotaka kipi..??
Dah. Mwl wangu Kabudi sijui karogwa na nini? Mi siamini yaaniMkuu tumeambiwa hawa watu wanastahili heshima tusiwataje tutakamatwa. shauri yako.
Ungeweka angalau kwa uchache mifano mitatu ya mazungumzo waliyofanya na matokeo yake. Tofauti na hivyo ni habari ya kufikirika.Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?![]()
Hahahahaha wengi mmechotwa na Magufuli kumbe. Tatizo nini lugha ya kwa malkia ama.?Sidhani kama kuna mazungumzo zaidi.Walikwisha ongea na Mh. Rais na wamekubali kutulipa kama nimemulewa Mh.Rais vizuri.....sasa mazungumzo ya nini tena.
Elimu mkuu. Thesis zenyewe wameiba!Hahahahaha wengi mmechotwa na Magufuli kumbe. Tatizo nini lugha ya kwa malkia ama.?
....Uliopitiliza ni ule wa kutunga na kupitisha sheria mbovu kwa mwendo wa ndiyooo, na kusaini mikataba kichwa kuchwa tena hotelini, possibly umeshapasha na wine kidogo, halafu eti utegemee kwamba hutaibiwa. Halafu mbaya zaidi mkipewa angalizo hamtaki, halafu sasa ndo mnataka muungwe mkono wakati ten percent mmechikichia.Wapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?![]()
Hiyo jeuri hatuna.kama tuliwaita wezi.na wakaja tukawaita wanaume.hakuna tunaloweza kufanya juu yao. Tuendelee kuombaMadini yetu wenyewe, wakileta za kuleta basi tunajimilikisha, tutawalipa fidia mdogo mdogo....
Kwa nini tunakuwa waoga kiasi hicho?