Haya sasa hawa ndo ACACIA!

Haya sasa hawa ndo ACACIA!

Hizi ni roho za chuki binafsi kusema millard ameishia la nne,haya ww mwenye degree una nin?

Kwan kuishia la nne imekua dhambi au matusi..?? Hiyo ni status yake upande wa elimu., Sijam judge ana nini ila nimebainisha status yake..!!
 
Kwani sisi hatuwezi kuzungumza? Wapo wakina profesa mruma na mwenzake ossoro waende wakajitetee kama waliandika uongo haituhusu.tunachotaka trilioni 108 kila mtu akajichukulie Noah yake
Uko huko mjini nami naomba unichukulie uniletee nipo hapa Bicha nakusubiri
 
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Kila nyimbo ikipigwa wanataka kucheza waambie zingine sio za kucheza wala kukunja goti zingine ni za kuitikia chorus tu unanyamaza wapuuzi sana hao
 
Nitafurahi akiwemo MZEE MSUKUMA na JIWE LINALO ISHI LUSINDE! Hawa ndio tunaowategemea itokeapo MIJADALA YA KUTUMIA AKILI!!

Msukuma yupi ambaye ni mzee..?? Unamuongelea Joseph Msukuma..?? Mtoto wa juzi huyo
 
Sisi ni watanzania kama wewe tofauti ni upeo tu wa kuelewa masuala haya. Nakupa mfano mdogo sana Acacia na barrick thamani ya kampuni yote haifiki trilioni tsh. 50 wewe unataka ulipwe tsh. Trilioni 108 .huu kama si ukichaa ni nini?
Na thamani ya madini yaliyopo ardhini hayajachimbwa bado ni sh ngapi?Mafao waliokwisha Pewa wanahisa toka1998sh ngapi?
 
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Rais aliomba mazungumzo, wakaacha kwenda mahakamani wakakubali mazungumzo, kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tukatangaza kuwa wamekubali kulipa. Sasa kama wamekubali kulipa mazungumzo ya nini?
 
Na thamani ya madini yaliyopo ardhini hayajachimbwa bado ni sh ngapi?Mafao waliokwisha Pewa wanahisa toka1998sh ngapi?
Kuhusu madili yaliyoko chini bado hawajayatoa na wakiyatoa watayalipia kodi. Mafao yao hayatuhusu muhimu wanalipa kodi stahiki kwa mujibu wa sheria na mikataba waloingia na serikali.
 
Mbona mlipitisha sheria zile wenyewe bila MSAADA wetu, tena kwa hati ya dharura . . ?!
Endeleeni kutubeza, mtashinda hata wakati huu . . , kamateni Wabunge wetu, wafungeni jela bila kesi . . , nyie naWakuu wenu wa Wilaya na Mikoa ndio wazalendo wa kweli . .
Siasa siasa siasa.hivi tukishindwa Mama zetu wakakosa dawa hospitali,huoni athari zake zinarudi kwako?
 
Rais aliomba mazungumzo, wakaacha kwenda mahakamani wakakubali mazungumzo, kabla ya mazungumzo yenyewe kuanza, tukatangaza kuwa wamekubali kulipa. Sasa kama wamekubali kulipa mazungumzo ya nini?
Acacia waliomba mazungumzo kupitia balozi wao, acha uongo. Wakati wa mazungumzo Acacia wakasema wako tayari kulipa kile tu kitakachothibitika walipaswa kulipa na hawakulipa. Kinachosubiriwa ni mazungumzo ya kuthibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom