Haya sasa hawa ndo ACACIA!

SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
WA TZ bhn nchi ya kwenu, Mali za kwenu, Acacia wako kwenu, Wameiba mali yenu, Nashangaa sana mnavyosambaza woga kwa wananchi., Ili iweje..?? Kama mtu kaamua na kasema anaweza mpeni walau support bhas....

Sipati picha km TZ leo hii ikiingia vitani sidhani kama kutakua na wazalendo wa kufia nchi hii....!?? Yaan hatuna umoja hata kidogo..!! Muda mwingine hua naona bora chama kimoja tu kingebaki, Upinzani walifanya vizuri lkn kwa hii sumu walowapa wananchi nawalaumu sana..!!
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,111
2,000
Dawa ya hao watu ni kujikita kwenye hoja, watu wetu wasikubali kuingiza maswala ya democrasia, utawala wa sheria,ukimwi,umasikini, n.k kwenye mjadala.

Hoja ni moja tu wamekuwa wana underestimate kiwango cha dhahabu na madini mengine yaliyo kwenye mchanga wanaosafirisha.

Na ikiwezekana njia ya kwanza ya kupima kiwango hicho iwe ni ile iliyotumiwa na akina profesa mruma na osolo.

Kama watataka itumike njia ingine tuite warusi waverify accuracy yake.
 
Kipapatiro

JF-Expert Member
May 18, 2017
1,056

Safi sana. Umeongea vema mwanangu. Njoo kwa tumbo hapa nikuyoe lunch
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom